Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mimi sina chama,ila kura yangu nampa Magufuli bila kujari chama chake
Watu kama Profesa Mwandosya kinachowauma siyo kukatwa majina bali wao ni Usomi wao wote na uzoefu wa miaka mingi kukatwa majina na tano bora kuigizwa muhuni kama January Makamba, hii ni zaidi ya dharau na kwa wale ambao hawaijui vizuri ccm wakawaulize Balozi Mahiga na Jaji Augustino Ramadhani wamefundishwa kwa vitendo kwamba ccm ni chama cha aina gani.Hiyo Tweet ya January sijaisoma, ila kwa jinsi watu wanavyoonyesha kukasirika lazima itakuwa ya hovyo sana. Jambo ambalo wengi ndani ya CCM hawajui ni kuwa pamoja na kuwa Baba yake January Mzee Makamba alikuwa Bogus sana kiasi cha kuitwa Pwagu, huyu mwanae ni zaidi ya baba. Lakini ndani ya CCM mtu akiwa bogus lakini mjanja mjanja basi huwa anachukuliwa ni Think tank. Hasa kama ataonyesha mbinu chafu za kukabiliana na Wapinzani.
Unaweza kushangaa mwenyewe kuwa katika timu ya watu Mashuhuri 32 walioteuliwa na chama kumkampenia mgombea wa chama Tawala (maana lazima uwe mashuhuri na makini) wapo Lusinde na Asumpta Mshama. Hiyo ni kuonyesha hata mtu wa hovyo hovyo kabisa anaweza kuonekana Mahiri kama tuu anaweza kuutukana upinzani bila aibu na kuandaa mbinu chafu.
Ndivyo ilivyo kwa Makamba.
Huyu Makamba katoa kauli gani?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo hatujawahi kushuudi tanzania imepoteza wanasiasa nguli kwa kipindi kisichozidi mwenzi mmoja.
Bado nikiwa kama mzalendo na kuweka itikadi pembeni najiuliza nini tatizo?Wapi tumemkosea mungu?
1. Mtoi
2. Mtikila
3. Kombani
4. Makaidi
5. Kigoda
6. Filikunjombe
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo hatujawahi kushuudi tanzania imepoteza wanasiasa nguli kwa kipindi kisichozidi mwenzi mmoja.
Bado nikiwa kama mzalendo na kuweka itikadi pembeni najiuliza nini tatizo?Wapi tumemkosea mungu?
1. Mtoi
2. Mtikila
3. Kombani
4. Makaidi
5. Kigoda
6. Filikunjombe
Unajiaibisha bure, unajuwa Makamba yupo wizara gani? yani leo sifa ya kuwa mwanaccm ni sharti uwe na mtindio wa Ubongo?makamba mnamuonea bure enyi watu,,,yeye alikua anafuata ripoti ya ITV waliotangaza kuwa filikunjombe yuko salama...makamba nadhani kwa kuaimini itv,alidhani itv wamestablish contact na deo....sasa hapa anaepaswa kulaumiwa ni itv
Una akili ya kishirikina. Inaonekana unaamini uchawi, hak'yanani.angalieni kwa makini zilianza ajali za mabasi ya abiria mfululizo na mengine kuwaka moto...