mkuu hata mm sikujua kwann watu walitoa taarifa kuwa waliokuwemo kwenye ndege n wazma kumbe wamefariki.
Nilijiuliza maswali mengi sana
Kuna habari kuwa chopa lililokita chini huko selous ilikuwa imebeba fedha kiasi cha 10b hizi ilikuwa nikwaajili ya kwenda kuuwa upinzani nyanda za juu kusini,
Duh!! Ndege imeanguka saa 11 jioni na wahanga wamefikiwa kesho yake saa 8 mchana!? Yaani hata hiyo ndege isinge lipuka Bado wangekufa tu, kama wange pona na wakawa na majeraha mabaya kwa muda woote huo bila huduma ya kwanza nadhani fisi na mbwa mwitu nakuvuja damu bado vingekuwa visababishi vya vifo vyao. Kitengo cha uokozi na dharura hapa Tanzania ni kama kimekufa tu.
Kukurupuka tu.......ilikuwa rahisi sana.......angepiga simu tower ya ilipoondokea......then aulize.........wangemwambia.......akiwa kama waziri wa mawasiliano.......alitakiwa achukue hatua hiyo mwanzo........
sasa mtu unakurupuka kutokea from nowhere........unakana kuwa ndege zetu zote zipo salama........au ilikuwa ni dhambi kwa hiyo chopa kuruka.......?.......kukana kwao inawezekana ndiko kulikosababisha wapendwa wetu kukosa msaada mapema........&$#¥o kabisa.....
watu wengine wanaboa sana........
Makamba ndiye aliyeenda kuzikodi na ku saini mikataba ya hizo chopa zote zinazotumika. Bila shaka kuna madudu anayajua kuhusu hizo chopa ndio maana akakanusha kwani inaweza ikamweka pabaya. Ya Mwigulu Jumatano au Jumanne, iligoma kuwaka, ya Deo ndo hiyo imelipuka, ya Livingstone Lusinde nayo jana iligoma kuwaka, kunani? Kwa maoni yangu, huyu jamaa achunguzwe kuhusu deal la hizi Chopa.
Hatuna ajali nyingi za ndege nchini!!! ndege zenyewe tunazo ngapi???
Jamani acheni uongo...
Helicopter ilidondoka na Nasari ilikuwa na Registration ya Tanzania soma Tail Number 5H ni Tanzania...
Ya Deo ni 5Y ikimaanisha imesajiliwa Kenya...
Hizo ni Helicopter 2 tofauti na zenye tail namba tofauti
Wamezitoa wapi hizo chopa....maana ccm kwa kuungaunga ni balaa...hata kwenye vitu sensitive
Kukurupuka tu.......ilikuwa rahisi sana.......angepiga simu tower ya ilipoondokea......then aulize.........wangemwambia.......akiwa kama waziri wa mawasiliano.......alitakiwa achukue hatua hiyo mwanzo........
sasa mtu unakurupuka kutokea from nowhere........unakana kuwa ndege zetu zote zipo salama........au ilikuwa ni dhambi kwa hiyo chopa kuruka.......?.......kukana kwao inawezekana ndiko kulikosababisha wapendwa wetu kukosa msaada mapema........&$#¥o kabisa.....
watu wengine wanaboa sana........
Ni kweli watu wanapotosha sana
hivi vyombo vinaawakataa ccm , vimewachoka, R.I.P Deo… imekufanya hivo kwa sababu ulikuwa na mahaba na ccm.. mbona Joshua Nasar hakumrestisha in piece…
mkuu hata mm sikujua kwann watu walitoa taarifa kuwa waliokuwemo kwenye ndege n wazma kumbe wamefariki.
Nilijiuliza maswali mengi sana
Wasemaji wa ccm wamebadilika?Naona kama Nafasi ya Nape imeshikiliwa na Kina Makamba et al.
Kila moja anakua na taarifa zake bila wao kuwasiliana.
R.I.P FILIKU
ajali haipangwi na ikipangwa haitaitwa ajali tena