TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

mkuu hata mm sikujua kwann watu walitoa taarifa kuwa waliokuwemo kwenye ndege n wazma kumbe wamefariki.
Nilijiuliza maswali mengi sana

Na ITV Ikatuhakikishia kuwa........kila kitu ni salama.........na TCRA ikasema.......ndio....salama kabisa.........
 
Kuna habari kuwa chopa lililokita chini huko selous ilikuwa imebeba fedha kiasi cha 10b hizi ilikuwa nikwaajili ya kwenda kuuwa upinzani nyanda za juu kusini,

ndio ni kweli ..yaani mwaka huu watashindana lakini hawatashindaaaaa.Mungu anawaadhibu sana mafisi haya ...sioni huruma hata kidogo mtu wa CCM anapokufa
 
Jamani acheni uongo...
Helicopter ilidondoka na Nasari ilikuwa na Registration ya Tanzania soma Tail Number 5H ni Tanzania...

Ya Deo ni 5Y ikimaanisha imesajiliwa Kenya...
Hizo ni Helicopter 2 tofauti na zenye tail namba tofauti
 
Duh!! Ndege imeanguka saa 11 jioni na wahanga wamefikiwa kesho yake saa 8 mchana!? Yaani hata hiyo ndege isinge lipuka Bado wangekufa tu, kama wange pona na wakawa na majeraha mabaya kwa muda woote huo bila huduma ya kwanza nadhani fisi na mbwa mwitu nakuvuja damu bado vingekuwa visababishi vya vifo vyao. Kitengo cha uokozi na dharura hapa Tanzania ni kama kimekufa tu.


kitengo kiko chini ya bwana shamba Pindanga Piterii Kayanzanga
 
Kukurupuka tu.......ilikuwa rahisi sana.......angepiga simu tower ya ilipoondokea......then aulize.........wangemwambia.......akiwa kama waziri wa mawasiliano.......alitakiwa achukue hatua hiyo mwanzo........
sasa mtu unakurupuka kutokea from nowhere........unakana kuwa ndege zetu zote zipo salama........au ilikuwa ni dhambi kwa hiyo chopa kuruka.......?.......kukana kwao inawezekana ndiko kulikosababisha wapendwa wetu kukosa msaada mapema........&$€#¥o kabisa.....
watu wengine wanaboa sana........

huyo jan huwa ni kilaza kma lusinde instead y kufuatilia ujue ukweli lenyewe limetuma tweet likiwa handeni....alitaka watu wajua yeye ndio katoa taarifa.....pia mfiwa yuko busy mtandaoni anamsifia baba yke alikua captain mzuri cjui nini.....unaomba huruma za wana segerea wamchague
 
Makamba ndiye aliyeenda kuzikodi na ku saini mikataba ya hizo chopa zote zinazotumika. Bila shaka kuna madudu anayajua kuhusu hizo chopa ndio maana akakanusha kwani inaweza ikamweka pabaya. Ya Mwigulu Jumatano au Jumanne, iligoma kuwaka, ya Deo ndo hiyo imelipuka, ya Livingstone Lusinde nayo jana iligoma kuwaka, kunani? Kwa maoni yangu, huyu jamaa achunguzwe kuhusu deal la hizi Chopa.

Duh! Kama ndivyo makamba katisha. #Hapadilitu!
 
Hatuna ajali nyingi za ndege nchini!!! ndege zenyewe tunazo ngapi???

Mkuu......ndege zinazoruka nchini......zipo nyingi sana.......sio lazima iwe ATC.......kuna kina PW.......Fastjet.....Coastal Aviation........na nyingine nyingi........
 
Jamani acheni uongo...
Helicopter ilidondoka na Nasari ilikuwa na Registration ya Tanzania soma Tail Number 5H ni Tanzania...

Ya Deo ni 5Y ikimaanisha imesajiliwa Kenya...
Hizo ni Helicopter 2 tofauti na zenye tail namba tofauti

Ni kweli watu wanapotosha sana
 
Kigogo kwa utamaduni wetu tunatakiwa kuwa na staha kwenye msiba. Preta wengine tunataka mabadiliko kwa kuwa tunaamini hawa waliopo wanaendesha nchi kwa mzoea (Business as usual) hakuna jambo jipya la MAANA tutakalolipata toka kwao.. Lakini pia wapo wanaoamini bila hawa jamaa hakuna Tanzania. Hao wanaoamni hivyo ndiyo tatizo letu!
 
Last edited by a moderator:
Kukurupuka tu.......ilikuwa rahisi sana.......angepiga simu tower ya ilipoondokea......then aulize.........wangemwambia.......akiwa kama waziri wa mawasiliano.......alitakiwa achukue hatua hiyo mwanzo........
sasa mtu unakurupuka kutokea from nowhere........unakana kuwa ndege zetu zote zipo salama........au ilikuwa ni dhambi kwa hiyo chopa kuruka.......?.......kukana kwao inawezekana ndiko kulikosababisha wapendwa wetu kukosa msaada mapema........&$€#¥o kabisa.....
watu wengine wanaboa sana........

Huyu ndiye alikuwa anapigiwa chapuo awe rais wetu. Hekima zero!
 
Ni kweli watu wanapotosha sana

Yeah hapo wasitafute mchawi nani, hata forensic ya hapa nchini zaidi watasema chanzo ni helicopter mbovu.....
Waangalie service card yake maana yawezekana hata haijawahi fanyiwa service
 
hivi vyombo vinaawakataa ccm , vimewachoka, R.I.P Deo… imekufanya hivo kwa sababu ulikuwa na mahaba na ccm.. mbona Joshua Nasar hakumrestisha in piece…

Sidhani kama upo sahihi kwa muda huu wa msiba toa pole inatosha ...itikadi tuweke pembeni mkuu si busara sana...
 
mkuu hata mm sikujua kwann watu walitoa taarifa kuwa waliokuwemo kwenye ndege n wazma kumbe wamefariki.
Nilijiuliza maswali mengi sana

Ndio tatizo la watu kutokujua wanachokifanya na kujua limits ya madaraka yao kwanza huyu January hakupaswa kuongelea hilo swala kuna idara zinahusika kama police ,kiherehere cha kuingilia kazi za watu wengine kisa tu uko na Jakaya kila mahali matokeo yake ndio haya

halafu mwigine aliyenisikitisha ni Nyalandu na tweet yake hii "mashuhuda wanasema mabaki ya helcopta yanaonyesha ililipuka vibaya baada ya kuanguka hali inayotia shaka kubwa" hivi huyu anataka kutuaminisha nini wametumia zaidi ya masaa 10 kuwatafuta marehemu ,the moment masalia ya chopper yalipo onekana na uchunguzi ukakamilika ?? halafu hiyo ni ajali alitegemea ilipuke vizuri ?? au hiyo chopper huko angani iligeuka oven wakawa wanabake cake maana oven ndiyo inalipuka vizuri bila madhara...acheni kuingilia kazi za mihimili mingine
 
Uwe ccm, Uwe upinzani, Mtanzania, siyo Mtanzania. Tumempoteza shujaa wetu, mwanasiasa mzalendo anayejali nchi yake..

RIP Deo tutakumbuka na kuenzi uzalendo wako.
 
Last edited by a moderator:
Baba yake Jerry silaa ni rubani mzoefu....pengine Helicopter aliyonunua jerry kwa ajili ya mradi wa familia ilikuwa substandard ...Kama zile alizonunua Nyalando
Ameweka maisha ya baba yake ni watumiaji wengine rehani
 
Back
Top Bottom