Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Baba yake Jerry silaa ni rubani mzoefu....pengine Helicopter aliyonunua jerry kwa ajili ya mradi wa familia ilikuwa substandard ...Kama zile alizonunua Nyalando
Ameweka maisha ya baba yake ni watumiaji wengine rehani
Makamba Jr sikujua kama wakati mwingine huwa mpumbavu, nyumbu kuzidi hata wale wanaowaita malofa! Yaani hiyo kambi kila mmoja anafanya kivyake hakuna mawasiliano, kila mmoja anamwona mwenzake kama anajipendekeza kwa Magufuli. Kazi wanayo kwa kweli, lazima mwaka huu tuwakalie nyoko hawa!! Ingekuwa nchi za wenzetu kauli hiyo tu ilikuwa inatosha kumfanya ajiuzulu nyadhifa zake ndani ya chama!!
ajali haipangwi na ikipangwa haitaitwa ajali tena
Umakini unahitajika nawaza siku Fastjet ikipiga chini! Nadhani tuwekeze zaidi kwenye Usalama wa anga
Unaijua 10 billion au unaongea tu? Au hiyo 10 billion ilikuwa in terms of which currency? Yaani unatarajia TZS 10 billion zikae kwenye heliopter? Uongo mwingine wala hauna maana!Kuna habari kuwa chopa lililokita chini huko selous ilikuwa imebeba fedha kiasi cha 10b hizi ilikuwa nikwaajili ya kwenda kuuwa upinzani nyanda za juu kusini,
Ilikodiwa na CCM?Hii helicopters haikuwa ya ccm ..Bali ya jerry ...na baba yake kupitia Hiyo kampuni....Sasa huenda alinunua used ...Kama Ile ya Nyalandu alizonunua mbovu
Mkuu......ndege zinazoruka nchini......zipo nyingi sana.......sio lazima iwe ATC.......kuna kina PW.......Fastjet.....Coastal Aviation........na nyingine nyingi........
Deo Filikunjombe aliwahi kufanya kazi World Vision,lile shirika la Jesuits? Well,I hope hakugombana nao. Wale jamaa ni very nasty characters. Nimeandika katika posting mojawapo jinsi World Vision walivyopeleka AIDS Haiti. AIDS maana yake Ukimwi.
Mkuu zile zilikuwa habar tata sana, kwanza ndege iliangukia katkat ya mbuga, hivyo hakuna aliyekuwa na uhakika kwasababu hapakuwa na msaada wowote mpaka ilipofika jana saa8 kasoro za mchana.
Kwanza ilikuwa bahati tu mzungu mmoja mtalii ndiye aliiona helkopta ikipita na baadae akaona mlipuko mkubwa ndio akasaidi kutoa direction ya eneo hilo lakn hata hvyo haikuwa rahisi kufika lile eneo kwa gari isipokuwa kwa chopa tu.
Ndio maana mpaka jana mchana hakuna aliyekuwa na taarifa za uhakika juu ya uwepo wa majeruhi au vifo.
mauaji hiyoInayotokana na uzembe inawekwa kundi gani?
kwa hilo ni kweli mkuu,, ila deo kaondoka kizembe ila basi tenaUmakini unahitajika nawaza siku Fastjet ikipiga chini! Nadhani tuwekeze zaidi kwenye Usalama wa anga