TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Kabla haijapaa angani ifanyiwa service pale njombe kuonyesha ilikuwa mbovu. Ikumbukwe pia helikopta hii ilileta vurugu takribani dk 15 kwenye mkutano wa kampeni wa chadema pale njombe. CCM jifunzeni ustaarabu.
 
Baba yake Jerry silaa ni rubani mzoefu....pengine Helicopter aliyonunua jerry kwa ajili ya mradi wa familia ilikuwa substandard ...Kama zile alizonunua Nyalando
Ameweka maisha ya baba yake ni watumiaji wengine rehani

Kumbe ni ya Jerry Slaa😳😳😳😳
 
Hii helicopters haikuwa ya ccm ..Bali ya jerry ...na baba yake kupitia Hiyo kampuni....Sasa huenda alinunua used ...Kama Ile ya Nyalandu alizonunua mbovu
 
Makamba Jr sikujua kama wakati mwingine huwa mpumbavu, nyumbu kuzidi hata wale wanaowaita malofa! Yaani hiyo kambi kila mmoja anafanya kivyake hakuna mawasiliano, kila mmoja anamwona mwenzake kama anajipendekeza kwa Magufuli. Kazi wanayo kwa kweli, lazima mwaka huu tuwakalie nyoko hawa!! Ingekuwa nchi za wenzetu kauli hiyo tu ilikuwa inatosha kumfanya ajiuzulu nyadhifa zake ndani ya chama!!

Ccm unawajua kweli? Kwa ujinga huu walitakiwa wafukuzwe kazi haraka
 
Duh Mwenyezi Mungu amtie nguvu huyu mama, pole sana hakuna anayeweza kuhisi hata theluthi ya majonzi aliyonayo. Wote ni waja na kwake tutarejea. R.I.P Deo.
 

Attachments

  • 1445062992735.jpg
    1445062992735.jpg
    36.1 KB · Views: 592
January Makamba ana kurupuka kila siku.
Chopa aliyopanda Lusinde iligoma kuwaka.
Wamezidi kuiba hadi wanaibiana wao wenyewe.
 
Umakini unahitajika nawaza siku Fastjet ikipiga chini! Nadhani tuwekeze zaidi kwenye Usalama wa anga

hapo kwenye fastjet itakuwa balaa..ila ajari za ndege hazijaanza leo, sema hapa bongo ni usafiri ambao hajazoeleka!!

Ukiangalia Aircrashh Investigation kwenye Nat Geo Gold hutatamanni kupanda hayo madude!!
 
huyu jamaa anaboa sana ...hawa ndo wakujiona wanajua saaaana kuliko wenzao popote anapokuwa ndani ya jamii...just imagine kwa sasa
*mhasibu wa fedha yeye..
*msemaji wa chama yeye..
*planner wa mipango yeye..
*mshauri wa rais yeye...
* mlipaji wa watu yeye..
*operational wa mambo yeye..
*mpokeaji na mpigaji wa simu yeye..
*ongezea na vingine.
 
Kuna habari kuwa chopa lililokita chini huko selous ilikuwa imebeba fedha kiasi cha 10b hizi ilikuwa nikwaajili ya kwenda kuuwa upinzani nyanda za juu kusini,
Unaijua 10 billion au unaongea tu? Au hiyo 10 billion ilikuwa in terms of which currency? Yaani unatarajia TZS 10 billion zikae kwenye heliopter? Uongo mwingine wala hauna maana!
 
Itikadi ziachwe RIP shujaa wa taifa ulikuja ukatumika umetuachia alama ya kuiga
 
Mkuu......ndege zinazoruka nchini......zipo nyingi sana.......sio lazima iwe ATC.......kuna kina PW.......Fastjet.....Coastal Aviation........na nyingine nyingi........

Nakubali kwamba si lazima ziwe za ATC ziko pia za makampuni binafsi na zile za mataifa mengine zinazotua na kuruka katika viwanja vyetu, lakini pia mtu anaposema Tanzania ajali za ndege si nyingi hapo analinganisha na nchi zingine. Tukichukua mfano wa East Africa tu, Tanzania ina air traffic tunayoweza kujidai kwamba tumeweza kudhibiti ajali? Uchache wa air traffic ndo uchache wa ajali.

Chukua mfano pikipiki zilivyokua chache hapo nyuma, ajali za pikipiki zilikua siyo gumzo, lakini baada ya kuongezeka idadi ya pikipiki (ujio wa BODA BODA) sasa ajali zake imekua gumzo na jitihada nyingi zimefanyika kupunguza/kuzuia ajali na tunaona mafanikio. Hapo mtu akija na kusema ajali za bodaboda zimedhibitiwa anaeleweka.
 
Deo Filikunjombe aliwahi kufanya kazi World Vision,lile shirika la Jesuits? Well,I hope hakugombana nao. Wale jamaa ni very nasty characters. Nimeandika katika posting mojawapo jinsi World Vision walivyopeleka AIDS Haiti. AIDS maana yake Ukimwi.

Mashirika ya aina hii huingia kwa mbwembwe yakionesha yako kwa ajili ya jamii. Kumbe ni ma agents wa uovu wa mataifa ya magharibi. Nguvu ya kuyamulika kwenye nchi zetu hizi haipo!
 
Mkuu zile zilikuwa habar tata sana, kwanza ndege iliangukia katkat ya mbuga, hivyo hakuna aliyekuwa na uhakika kwasababu hapakuwa na msaada wowote mpaka ilipofika jana saa8 kasoro za mchana.

Kwanza ilikuwa bahati tu mzungu mmoja mtalii ndiye aliiona helkopta ikipita na baadae akaona mlipuko mkubwa ndio akasaidi kutoa direction ya eneo hilo lakn hata hvyo haikuwa rahisi kufika lile eneo kwa gari isipokuwa kwa chopa tu.

Ndio maana mpaka jana mchana hakuna aliyekuwa na taarifa za uhakika juu ya uwepo wa majeruhi au vifo.

Mungu atuepushe na majanga!
 
Back
Top Bottom