Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tuombee jamani iwe ya uongo maana baada ya uchaguzi kuna maisha yataendelea
Ukawa hoyeeeeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombee jamani iwe ya uongo maana baada ya uchaguzi kuna maisha yataendelea
Inasemekana wameshakanusha kuwa chopa zao zote zipo salama.
Nimejaribu kumpigia Deo hapatikani namba zote!
Kwa mujibu wa makamba, chopa za CCM zote ziko salama
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!