TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Katibu wa CCM Wilaya ya Ludewa bwana Luciano Mbossa amethibisha Filikunjombe kutoka na Helkopta Dar kwa minajili ya kwenda nayo Ludewa lakini mara ya mwisho kumpigia simu, ilikuwa Bize!
 
Makamba ametoa ufafanuzi zaidi,

attachment.php
 

Attachments

  • MAKAMBA.jpg
    MAKAMBA.jpg
    62.9 KB · Views: 2,500
Mungu aepushie mbali....Indeleekuwa ni tetesi tu.




LOWASSA RAIS WANGU..
 
Fillkunjombe yuko salama kwa mujibu wa mwandishi emanuel msigwa ila kweli elkopta yao imeanguka
C&P

👆👆 Hiyo imetumwa na mtu wa habari wa Star TV.
 
iendelee kuwa tetesi na kama ni kwenu Mungu awe amewanusuru. .. eeesh Mungu saidia.




Lowassa rais wangu
 
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!

Mmmmh Putin V unajisikiaje baada ya habari kuthibitishwa!? Siyo kila kitu ni siasa.
 
Back
Top Bottom