Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii nchi mbona tunapenda masihara kwa mambo mazito.. Toka jana saa tano usiku mpaka leo hakuna taarifa yoyote..
Inaelekea hujui maana ya kustaafu!!!!
Kujenga ofisi za chama haikuwa option number 1.. Hivi kweli unaamini kama CDM ingekuwa na mpango wa kumiliki jengo la kisasa ingeshindikana?? Kupanga ni kuchagua, CDM walichagua kupeleka harakati mbele mpaka iwakomboe watanzania ndio mengine yafate.. Kujenga lighorofa wakati wanao unawasomesha kayumba ni ukichaa...
waweza kuwa na chopa lakini usifanikiwa kupin point eneo la tukio,,,,,,
kama wako salama wangeweza kuwasha hata moto ili moshi uwe ishara waweze kuonwa kwa urahisi
Hizi ni pumba zilizopitiliza,, kuwa rubani wa helicopter hakuhitaji kadi ya chama bro,,, hiyo ni taaluma ambayo mtu husomea na kufuzu vizuri ndio hupewa leseni ya kurusha.... Tafuta maisha kwa nguvu yoyote uandae maisha ya familia yako na sio kuwa na wivu ukiona mtu asiye sehemu ya familia yako akifanikiwa... Ungesoma shuleni kwa bidii na ukafaulu kwa kutumia kichwa chako vizuri na ukawa mhangaikaji kwa maana ya kujitambua mapema basi ungejua nini cha kusomea na sio hiyo fani uliyosomea na kuwa na chuki na wenzio,,, mlaumu mzazi wako kwa kutopambana na kukuandalia maisha vizuri,, kama hiyo haitoshi usikate tamaa bado muda unao pambana tunza fedha,, heshimu maisha yako,, usiendekeze ulevi na umalaya, pambana kimaisha bro tunza na iheshimu hata shillingi,, ukizipata jaribu kuandaa Future ya wanao na nduguzo,,, vipi unabustani hata ya nyanya katika umri wako hii bro!!! au ndio unategemea mshahara ufanye kila kitu?? Au ndio Wale mnaotaka utajiri bila kufanya kazi na kumuomba mungu...???
Hivi hii nchi mbona tunapenda masihara kwa mambo mazito.. Toka jana saa tano usiku mpaka leo hakuna taarifa yoyote..
Aidha Meya wa Ilala, Jerry Silaa asubuhi hii aliandika kwenye kurasa yake ya Instagram kuwa: Baba yangu Capt.William Silaa akiwa na Mhe.Deo Filikunjombe na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya helicopter 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa. Taarifa za mwisho ilionekana imeanguka kwenye msitu wa Selous. Hakuna mawasiliano ya simu. Usiku kucha vyombo vyote vya serikali vimeendelea na jitihada za kufika eneo la tukio na jitihada kubwa zaidi zinaendelea asubuhi hii. Nawaomba wote kuwa watulivu kwani jambo hili linahitaji umakini wa hali ya juu na ushirikiano wa taasisi nyingi za wizara tofauti. Tuwaombee wote Mungu awanusuru."
Watanzania watu Wa ajabu sana namshukuru mungu nimepata uraia Wa nchi mbili
mkuu mbona unatukatisha tamaa?hujui kule ni hifadhini na kuna simba na fisi!?
Kweli I Dont Know How Much But Its Not That Cheap As You Think..Lakini Mkuu Hivi Kweli Hamuwezi Kuzitengeneza Ofisi Mpaka Muingie Ikulu?
Pili,sijasema Hamna Hela Kwasababu Ruzuku Mnapokea Tena Nyingi Tu,tena Kila Mwaka,napata Shaka Na Mimi Nawewe Tujiulize,hizo Ruzuku Katikati Hapa Kabla Ya Uchaguzi Zimetumikaje?
Kitu Gani Wewe Kama Mwanachadema Umekiona Dhahiri Hiki Kimetokana Na Ruzuku Mnazochukua?
Jerry Slaa amethibitisha kutokea kwa ajali hyo,baba yke ni miongoni mwa waliokuwemo ndani ya chombo hcho.
Kama ni hivyo nimefurahi sana maana huyu jamaa ni mtu wa Mungu hana unafiki kama misisiem mingine,Mungu ampe wepesifilikunjombe yupo safe mkuu..........
Mkuu Sasa Hizo Harakati Unaendeshaje Bila Kuwa Na Ofisi Za Kupangia Mikakati?Hivi Niambie Shiling Ngap Mnatumia Kufanya Vikao Vyenu Mahotelini Na Ni Kiasi Gan Mngetumia Kujenga Ofisi Zenu Kufanya Vikao?
Kwahiyo Nyie Mmechagua Mahotelini Instead Ya Ofisi Zenu?