TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Mi sijui habari za ugambani na kunachonifanya nisijue ni hasira juu yao
 
Unataka kumaanisha kitu gani,?
Hiyo ni ajali tu kama ajali nyingine.
Mungu awalaze mahala pema peponi.
 
Siasa za CDM hakuna mtu yeyote anaetumia kichwa chake makini na sawasawa anawaunga mkono.Hakuna mtu makini yeyote anayependa SIASA ZA CHUKI KALI,KUITANA MAJINA FISIEM,FUJO,VURUGU NA ZOMEAZOMEA.Hayupo.Hilo kundi usemalo ni watu wachache sana na tena wengine hata VITAMBULISHO Hawana.FANYENI SIASA ZA HOJA,CHUKI HAZIJENGI.Mwl JK Nyerere alipata UHURU WA NCHI HII KWA HOJA SIYO VURUGU,FUJO,ZOWEAZOMEA NA MAANDAMANO.#R.I.PDeoFilikunjombe Tumepoteza mpambanaji

Anayefanya siasa za chuki ni nani???Ni nani akipanda majukwaani hasemi sera zake zaidi ya kutukana upinzani???

Kaka hakuna mtu anayependa fuji,kwenye kampeni inabidi uzoee ,kila mtu ana tamaduni zake.Ni kama askofu alivyosema tukubali kwenye kampeni hizi ni kama shamra shamra tu.

Lakini wenye chuki na wanaonekana kuwa na chuki mmoja ni RAIS wetu.Mpaka anapoongea unamuona.Ingekuwa vyema ukawaambia wanaccm wenzako waache kutukana watuletee sera.

Lakini hili la vijana wasio na kazi za maana ndiyo waliojiandikisha wengi.Pole huo nidyo ukweli,hawa ndiyo waliokuwa wanalala kwenye foleni za kujiandikisha kupiga kura .Rafiki nenda kawaulize hao vijana ndipo utakapo shangaa.

Kamuulize Mbunge wa Mbeya Mjini nani aliyemuangusha???Aliongea kama wewe akawakashfu vijana hawa kama ufanyavyo.Mahali popote duniani wanaoleta mabadiliko siyo wasomi ni hawa vijana wasio na cha kupoteza.

Ni ukweli unaoumma
 
RIP Deo. Inauma mnooooo.!! Kama ni sadaka kwa uchaguzi huu Mbona imekuwa too much.
 
Duuuu masikini viroba na comments zenu,mna haki ya kumchagua mwizi,hamjitambui
 
Ubaya huwa hatupewi muda wa kuchagua tufe lini au nani afe nani bakie hai.
 
Kwakweli nimesikitika sanaa jamani, japo alishiriki hila za kutaka kupita bila kupingwa!

Namimi namshangaa, alikuwa na uwezo wa kueashuhua upinzani vizuri tu....any way rip hon. D. Filikunjombe
 
Back
Top Bottom