Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh jamani..ccm walikuwa na kiongozi mmoja tu bungeni...nae Mungu kamchukua...wanabaki kina mwigulu? Duh sasa basi tena..pumzika kwa amani kaka..tunashukuru kwa kazi nzuri uliotufanyia watz...hakika jina lako halitafutika kwenye miyoyo yetu...kikubwa umewaachia watoto wako kitu cha kujivunia..hawatadharaulika kamwe...Baba yao alikuwa mtu wa tofauti pamoja na kuwa ndani ya nyumba ya wanyang'anyi ccm..
Mh unanitisha iligongana na Kitu! My God isije ikawa mtimanyongo
Uko sahihi ndugu-Msiba wa Deo umetikisa taifa ....wanasiasa hili ni somo kubwa sana ....wananchi wanaona kazi zenu ....watawaenzi kwa namna mnayostahili ....Taifa limekuwa moja kupitia msiba huu ....
January si ndio think tanker wenu? au hujui ndio msemaji wa ccm? tulioikataa ccm haya tunayajuwa siku nyingi jishangae wewe usimshangae Makamba.
Mimi sina chama,ila kura yangu nampa Magufuli bila kujari chama chake
Usishangae mkuu JERRY anapiga PASI ndefu au naweza kusema kajitangulizia mpira ili akumbukwe sasa mtu km MAGUFULI anashukuriwa kwa lipi hasa
Amen..LPoleni wafiwa.Watanzania wenye akili watajifunza afya na roho zetu ziko mkononi mwa Mungu.Haijalishi cheo chako, ubabe wako, upole wako, jeuri yako, utajiri wako, umaskini wako.. Mungu ndiye anayejua mwisho wa uhai wako hapa duniani.Jambo la muhimu zaidi ni kuitafuta hekima na kuishi vizuri na watu wote
Mungu turehemu na utuepushe na maafa haya kipindi hiki cha kampeni
Huu ndo ukweli.
Mfiwa katia aibu kidogo hapa
Hapana ni kule kwa Mgimwa,ila nadhani ni uongo tujimbo la mtama nini ?