PostGE2025 Hellen Kijo Bisimba: Serikali inaogopa maandamano na maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki kuishinikiza serikali

PostGE2025 Hellen Kijo Bisimba: Serikali inaogopa maandamano na maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki kuishinikiza serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dkt. Hellen Kijo Bisimba amesema "Kwa uzoefu wa Tanzania, serikali huwa na hofu kubwa dhidi ya maandamano na maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki kuishinikiza serikali"

 
Tumejengewa uwoga niliona aljazeera Kuna nchi imemuondoa madaraka rais kupitia maandamano nikawaza wao wamewezaje? Walikusanyika mbele ya ikulu sijui wamewezaje watu kujiongoza na kunikiwa kujikusanya vile bila vurugu zaid ya mabango wamewezaje??
 
Kibibi kinataka kuondoka na mtu, apotezewe kama alivyopotezewa warioba. Maandamano ndo kupora Mali za watu?!!! Mamamamamae!
 
Hata kanisa katoliki halipendi maandamano na ndiyo maana wakawaita waumini wao.malofa na wenye njaa sababu ya yale maandamano
 
Aisee ww jamaa ni bonge la fala, kichwani unawaza udini tuu!

Haya Prof Lipumba aliwahi kumpanda Samuya kwamba anapwayapwaya...so naye ni mkatoliki?!.
 
Aisee ww jamaa ni bonge la fala, kichwani unawaza udini tuu!

Haya Prof Lipumba aliwahi kumpanda Samuya kwamba anapwayapwaya...so naye ni mkatoliki?!.
 
Back
Top Bottom