Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgeni akikosea huwa tunambembeleza bana! Mwambie taratibu kuwa panaitwa Jamiiforums.Hii sio jamiiforram umekosea njia, geuza njia itafute jamii forram uendeleze furaha yako
Hii sio jamiiforram umekosea njia, geuza njia itafute jamii forram uendeleze furaha yako
Mkuu wewe utakuwa na undugu na Sheikh Yahaya, umejuaje kama nimepiga ndefu. Unaweza kumkaribisha kumbe hakumaanisha JForumsMgeni akikosea huwa tunambembeleza bana!
Mgeni karibu mwaya. Usimwogope kapotolo, hizo ndo zake akikosa kupikiwa chai na shemegi asubuhi.
Jukwaa la siasa ni sehemu ya maisha yangu kwa sasa..!
Mgeni akikosea huwa tunambembeleza bana! Mwambie taratibu kuwa panaitwa Jamiiforums.
Mgeni karibu mwaya. Usimwogope kapotolo, hizo ndo zake akikosa kupikiwa chai na shemegi asubuhi.
jukwaa la siasa ni sehemu ya maisha yangu kwa sasa..!
Jukwaa la siasa ni sehemu ya maisha yangu kwa sasa..!