Hello am happy to join jamii forums

Hello am happy to join jamii forums

Munusco

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
201
Reaction score
23
Jukwaa la siasa ni sehemu ya maisha yangu kwa sasa..!
 
Hii sio jamiiforram umekosea njia, geuza njia itafute jamii forram uendeleze furaha yako
 
Hicho unachofurahia nadhani ni wachache watakuelewa.
 
Hii sio jamiiforram umekosea njia, geuza njia itafute jamii forram uendeleze furaha yako
Mgeni akikosea huwa tunambembeleza bana! Mwambie taratibu kuwa panaitwa Jamiiforums.

Mgeni karibu mwaya. Usimwogope kapotolo, hizo ndo zake akikosa kupikiwa chai na shemegi asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
Mgeni akikosea huwa tunambembeleza bana!

Mgeni karibu mwaya. Usimwogope kapotolo, hizo ndo zake akikosa kupikiwa chai na shemegi asubuhi.
Mkuu wewe utakuwa na undugu na Sheikh Yahaya, umejuaje kama nimepiga ndefu. Unaweza kumkaribisha kumbe hakumaanisha JForums
 
Last edited by a moderator:
Karibu mgeni...Kwa mustakhabali na mwenendo wa nchi yako kisiasa umefika mahala pake...ila usisahau kupunguza stress kwenye MMU wakishakucharua kwenye siasa!
 
Mgeni akikosea huwa tunambembeleza bana! Mwambie taratibu kuwa panaitwa Jamiiforums.

Mgeni karibu mwaya. Usimwogope kapotolo, hizo ndo zake akikosa kupikiwa chai na shemegi asubuhi.

pakajimmy shemegi ndiyo nini tens
 
Last edited by a moderator:
Usisahau kwenda kwa masharobaro, wapenda sifa, mapedeshee, wasema uongo wa CHITCHAT
 
Back
Top Bottom