Hello future Hubby

32?... Lakini utapata, haya mambo ni magumu kiasi hicho?...
Still bado anachagua mpaka afike 40 ndio atasema nataka anaepumua tu, kuna ndugu yangu wa kike walifunga ndoa na jamaa yake jamaa hana kazi na binti by the time alikua hana kazi zaidi ya shughuli ndogo ndogo tu za hapa na pale wakapitisha michango (hio michango ndio ukawa mtaji wao) mpaka sasa wamepiga hatua sana binti kapata kazi na jamaa kapata kazi ila wameoana hawana kitu walikua na akili tu kichwani basi mengine ni jinsi ya kuzitumia akili zao kusonga mbele, kwa hio akili ni muhimu zaidi kuliko kipato kuliko muonekano
 
Kitendo cha kumuita mliye achana naye ( X wako) tayari ushatukimbiza wanaume serious kama 7 hivi, why umuite X wako na sio X tuu rekebisha hapo nrudie kusoma
 
Yaan unaendelea tu kuuchanachana mkeka mara una kipato hutaki pesa zake mara awe na kipato sasa kipi ni kipi mboni mitego mingi hapa anasakwa dubwe au? Haimaanishi hutotaka pesa zake utaka nini pumzi yake?
Hakuna niliposema sitaki pesa yake
 
genius of love on my way

sifa zangu

nina six packs

najielewa

mpole

kipato million 10 hadi 20 na kuendelea kwa week au mwezi

kazi aviation business

mweusi maji ya kunde

sio mrefu wala sio mfupi sio mwembamba au mnene

sinywi pombe

sivuti sigara wala bangi

sio mkatoliki masabato au mwislam au dhehebu lolote

nina penda music, movies, games na kutoka out tour etc

sio muongeaji sana ni mkimya
 
Niko hapa mama wa toto, sema kigezo cha kuwa mbali kimenitupa nje kivigezo πŸ₯Ή
 
Wewe yako inasoma ngapi
Anamaanisha mpaka sasa mwili wako ushabeba wanaume wangapi umetembea kilomita ngapi kwenye kupigwa pipe ili anataka kuingiza mguu ajue anakutana na nini ndani
 
β€œNafanya kazi na Nina kipato kinachonitoshaβ€œ kwa hii point tu wewe anza kuandaa kamati ya sendoff .. mume unaye na ndoa unayo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwakweli hiyo ni pwentyi ya muhimu sana. Haya sasa mashangazi mshone sare.
 
Mzee wetu tembelea vijiwe vya marasta ukapose huko sio mbaya kumrudishia nature
 
Kwakweli Dada kanyooka hana longolongo vijana mnaojielewa kazi kwenu sasa.
Vigezo vyote ninavyo ila umri umenikosesha mwanamke.
 
Duh mkeka wako mrefu
 
Duh mkeka wako mrefu
Unachagua sana wewe tafuta bar iliyo karibu nawe kaa peke yako subiri hapo mume unaemtaka atakufuata nimekupa mbinu mpya

Zingatia; nyashi iwe inaoneonekana vizuri na wa kwanza kukufuata ndio awe wa mwisho chaguo lako usiendekezwe na tamaa kutaka wanaume 100 hutowaweza utapoteza tu muda wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…