BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Interview ya jion pia muhimuInaonekana umechelewa mda wa kupokea maombi umeisha sasa ni interview tu😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interview ya jion pia muhimuInaonekana umechelewa mda wa kupokea maombi umeisha sasa ni interview tu😀
Umeanza baby wake Sarian Martin na mchepuko wake Chioma NwaohaKwanini umri unakua kigezo...
Wewe mtu kama ana kazi na ana uwezo wa kuhudumia what you need why uweke umri kama kigezo...
Sijapenda
Daaah ujue toka juzi kuna huyu mdada ana nisumbua sana ... Anaitwa THUso mbedu (Nawi)Umeanza baby wake Sarian Martin na mchepuko wake Chioma Nwaoha
sawa mkuuDaaah ujue toka juzi kuna huyu mdada ana nisumbua sana ... Anaitwa THUso mbedu (Nawi)
View attachment 3177427
Sijaelewa what she is want to me..
Anatuma sana text...
But pearl watts muache kwanza naona kshaanza kushoboka kwa mauric sam
Kanikera mnooo
Kuna majibu huwa napenda sana 😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌sawa mkuu
Mimi ukiona bibi wa kizungu niiteKijana Mwachiluwi ,mchumba huyu
Kunyonyeshea watotoTiti Lina kazi gani mkuu
Ngoja niendelee kusoma commentWakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Itakua hataki kupika makande.....Kwa hiyo wasabato tumekukosea nini mkuu! Usitufanyie hivyo...
We baki na mishangazi yako, huyo mtoto utamchosha tu....Daaah ujue toka juzi kuna huyu mdada ana nisumbua sana ... Anaitwa THUso mbedu (Nawi)
View attachment 3177427
Sijaelewa what she is want to me..
Anatuma sana text...
But pearl watts muache kwanza naona kshaanza kushoboka kwa mauric sam
Kanikera mnooo
Mamako anajua kwamba hujamaliza kunyonya 🤣🤣🤣🤣Sijamaliza natamani sana univalishe nepi uninyonyeshe
Ndio ila wewe hapanaaa nisikuone pm kwanguWee mie nipo huko ila mipango ya kwenda seychelles ipo mrembo. Vipi na wewe unataka kuolewa?