Hello future Hubby

Hello future Hubby

Umeanza baby wake Sarian Martin na mchepuko wake Chioma Nwaoha
Daaah ujue toka juzi kuna huyu mdada ana nisumbua sana ... Anaitwa THUso mbedu (Nawi)

images (4).jpeg

Sijaelewa what she is want to me..
Anatuma sana text...

But pearl watts muache kwanza naona kshaanza kushoboka kwa mauric sam
Kanikera mnooo
 
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)

Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32

Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45

Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm

PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Ngoja niendelee kusoma comment
 
Back
Top Bottom