Hello if members am new here

Karibu sana JF, kuwa huru kutoa maoni yako ila fuata taratibu..
 
Wewe una matatizo si bure.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wageni wakija unakuwa na hofu sana??[emoji47]
Umezoe kutongoza tongoza unahisi utatongoza mtu mmoja kwa I'd tofauti[emoji47]
Pambana na hali yako.
Kuwa kwako mwenyeji hapazuii watu wengine kujoin.[emoji41][emoji41]
Kwanza huku watu hawatakiwi kujuana hata kama akiwa na I'd mia kinakuuma nini[emoji19][emoji19][emoji19]
 
Nakukaribisha kwa moyo huru, But unambie kabisa utakaa nasi siku ngapi? usije ugulia madonda ya Ban! ukatuliza buree!!! na Mortually kumejaa mioto hai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…