Hello if members am new here

Hello if members am new here

Mkuu....
Ebu naomba niwe mkweli kwa huu unao uita ugeni wako.....
Kwanza nimeshakua na neno la kusema kwamba..... I'D nyingi zilizo anzia May 2017 zina tatizo.
Pili wewe ni mwenyeji sana humu jf na nivyema ukatumia I'D yako ya zamani.
Ukibisha niambie niendelee......
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hebu nidokeze kidogoo comrade
 
Back
Top Bottom