Hello JF

Hello JF

Karibu mamito.

Kwanza kuna fundi vitongozi huku. Halafu wanaume wa humu wengi wao hawana vifua. Vifua vyao wamebebea chuchu tu ila kuhifadhi mambo hawawezi.
Kuna wale wengine wa pm kitu kidogo anakuja pm ukatia neno th anakuuzia kesi.
Asante kwa kunifahamisha tuko pamoja wasijali

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Karibu mamito.

Kwanza kuna fundi vitongozi huku. Halafu wanaume wa humu wengi wao hawana vifua. Vifua vyao wamebebea chuchu tu ila kuhifadhi mambo hawawezi.
Kuna wale wengine wa pm kitu kidogo anakuja pm ukatia neno th anakuuzia kesi.

Tuheshimiane jamani
 
Habari zenu wakuu.

Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.

Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.
Haya tuambie, jina halisi la Mzigua na anapoishi

Halafu kwani sasa haupo anonymous?
 
Habari zenu wakuu.

Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.

Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.
Mama wambie wasikatishe nataka kumiliki hili jimbo[emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom