Hello my friends

Hello my friends

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini marafiki wote humu mjengoni natumai nitapata marafiki wazuri na wema wa kuwa pamoja nao nafurahi kuwa mmojawapo wenu kwani nilikuwa guest kwa muda mrefu na sasa nimeona nijiunge rasmi kama member wa jf humu ndani. Nilifurahi sana thread zenu ambazo zimenihamasisha kuingia humu na kuwa pamoja nanyi Nilipenda sana kufuatilia post za kaka Mtambuzi , posts za dada ladyfurahia zilikuwa zinanigusa na yale mafundisho yake yalinisaidia sana ila kwa sasa sijaona kama ametoa post zingine za kutia moyo na kushauri sijui kwanini? ila samahani sana dada lady kama utaboreka kwa kukusema hapa. na vilevile nimefurahi kuwaona ndugu zangu akina Passion Lady, Sweetlady, Lady doctor, charminglady, FirstLady, Lady Unbreakable, Lady lady, Lady lulu na wengineo wengi ambao sijawataja hapa ni kutokana na ugeni huu hapa nawapenda na naomba mnioneshe ndugu zangu wengine kama wapo humu mjengoni. Nimefurahi sana kuwa pamoja nanyi. Nawapenda sana
 
Last edited by a moderator:
Kalbu mgeni.. hata usiangaike kuvua viatu, ww pita navyo tu na jisikie kama upo nyumban kwenu nasio nyumbani coz ukijiaikia kama upo nyumban unaweza uka boreka. Mazingira yana weza yasiwe mazuri kama nyumbani kwenu. So feel at your home and your warmly welcome.
 
Karibu sana dada... inaonekana wewe ni ndugu yetu yuleeeeee aliyetokomea ughaibubuni... Daddy watu8 plz du ze nidfuli!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ni kweli ndugu yangu ujakosea kabisa nilikuwa ughaibhuni takribani malongo 7 hvi sasa ndo nimerudi home nashukuru kwa mapokezi yako yamenifanya nijisikie raha na furaha pia asante mamito
Karibu sana dada... inaonekana wewe ni ndugu yetu yuleeeeee aliyetokomea ughaibubuni... Daddy watu8 plz du ze nidfuli!!!!!!!
 
karibu sana jamvini
dada ako nilikua safarini
ndio nimerejea na kukuta ugeni!!
tunakupenda pia!!
 
Habarini marafiki wote humu mjengoni natumai nitapata marafiki wazuri na wema wa kuwa pamoja nao nafurahi kuwa mmojawapo wenu kwani nilikuwa guest kwa muda mrefu na sasa nimeona nijiunge rasmi kama member wa jf humu ndani. Nilifurahi sana thread zenu ambazo zimenihamasisha kuingia humu na kuwa pamoja nanyi Nilipenda sana kufuatilia post za kaka Mtambuzi , posts za dada ladyfurahia zilikuwa zinanigusa na yale mafundisho yake yalinisaidia sana ila kwa sasa sijaona kama ametoa post zingine za kutia moyo na kushauri sijui kwanini? ila samahani sana dada lady kama utaboreka kwa kukusema hapa. na vilevile nimefurahi kuwaona ndugu zangu akina Passion Lady, Sweetlady, Lady doctor, charminglady, FirstLady, Lady Unbreakable, Lady lady, Lady lulu na wengineo wengi ambao sijawataja hapa ni kutokana na ugeni huu hapa nawapenda na naomba mnioneshe ndugu zangu wengine kama wapo humu mjengoni. Nimefurahi sana kuwa pamoja nanyi. Nawapenda sana
Habari za kwako
 
Back
Top Bottom