Hello wenyeji

Hello wenyeji

"binadamu akiongea huwa sawa kabisa na malaika, ila amechafuka kwa uongo na upuuzi''

naamini upo serious as i told you i will think about that
04f5de9a39daf087032042f7e10d84c245a580-wm.jpg
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    6.8 KB · Views: 41
wana jamii forum mie ni mgeni humu naomba mnikaribishe

na bila shaka naamini ntafaidika na mengi ya elimu burudani na makala nyingi za humu

natanguliza shukrani zangu
Think-like-a-Queen.A-Queen-is-not-afraid-to-fail.Failru-2.jpg
 
Attachments

  • Think-like-a-Queen.A-Queen-is-not-afraid-to-fail.Failru-2.jpg
    Think-like-a-Queen.A-Queen-is-not-afraid-to-fail.Failru-2.jpg
    25.1 KB · Views: 40
Tabia tutajuana mbele kwa mbele, nadhani unaweza kuishi na watu.. Kama unaweza basi hata haita kua tabu, mi nitakuvumilia ktk yote freshgirl
 
Yaaah nikweli kabisa , ila duuhhh USA hawezi kuanguka , aya mataifa mengine yapo tu kusaidia kupunguza punguza Ukali Wa US maana akiachwa US pekee yake Dunia ndo itaharibika zaidi !!.
mkuu

naona mnaelewana lugha zenu...chemistry yenu imekaa vizuri..mnaendana...nawatakia kila la kheri ktk maisha yenu mapya ya uchumba
 
Fresh girl you are lookin good en very polite..!

Iam realy in love with your picture en i speak this from the bottom of my heart.[emoji115] [emoji115] [emoji174] [emoji174] [emoji122] [emoji122]

Follow me inbox..
 
asante una visa kama jina lako
 
kwa nini usa haiwezi kuanguka as a superpower? mie naona inawezekana ni suala la mda tu
Hapana USA, she will never ever !! Mie I used to relate mambo mengi using the science of Theology !! n.b am not a theologian ... Sasa according to theologian they do believe kwamba US ndio Taifa Pekee ambalo Litabakia kusimama .

Nahiyo naamin itabaki kua ivo ,hili Taifa nikiongozi kwa kila kitu.
 
mkuu

naona mnaelewana lugha zenu...chemistry yenu imekaa vizuri..mnaendana...nawatakia kila la kheri ktk maisha yenu mapya ya uchumba
eeeh aka mie nina wangu nimekuja jf kupata tu mawazo mapya
watu mna vituko nyie sijapata kuona
 
Hapana USA, she will never ever !! Mie I used to relate mambo mengi using the science of Theology !! n.b am not a theologian ... Sasa according to theologian they do believe kwamba US ndio Taifa Pekee ambalo Litabakia kusimama .

Nahiyo naamin itabaki kua ivo ,hili Taifa nikiongozi kwa kila kitu.
kama ni hivo sawa, ila kumbuka hizo ni theory tu!!
nani angetabiri daud kumuangusha goliath?
sina uhakika wa hili lakin naamin wataanguka
 
Hapana USA, she will never ever !! Mie I used to relate mambo mengi using the science of Theology !! n.b am not a theologian ... Sasa according to theologian they do believe kwamba US ndio Taifa Pekee ambalo Litabakia kusimama .

Nahiyo naamin itabaki kua ivo ,hili Taifa nikiongozi kwa kila kitu.
hakuna mabingwa wala wafalme wa milele wafalme huja wakaondoka
usa nae umsimuekee guarantee hata kama yupo strong kiasi gani
 
Back
Top Bottom