Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.
Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
Unacheka mwenzio anaumia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km.mazuri
Unacheka mwenzio anaumia?
Sawa mkuu.
Ndiyo rafiki,nilishawahi!Rafiki ushawahi niona?
Akiwa na Chura utamsaidia?Ndiyo rafiki,nilishawahi!
AmuHivi ni mimi nayepitia haya au kuna wenzangu?