Hello

Hello

Wewe unaona hapa naongelea bata?

Ndiyo AbaMukulu nipo hatua hiyo, inauma zaidi pale mtu wako wa karibu anakupa kisogo
Japo kuna watu wetu wa karibu lakini sio vizuri sana kuweka utegemezi wa kihisia kwa watu wengine.

Ukishaweka utegemezi wa kihisia jua watakuumiza.
Lakini kama hautoweka utegemezi basi wakifanya kitu tofauti unaweza move on kwa wepesi
 
Back
Top Bottom