Hello

Hello

Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.

Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
Ndomana Mimi sina marafiki.
 
Pole

Ndivyo watu walivyo..wachukulie ivyo ivyo

Usiamini sana mtu
 
Uko very general, utapata sympathy za watu tofauti tofauti lakini swala hilo litaendelea kukutatiza kwa sababu hujaliweka wazi.

Kila mmoja anajaribu ku-guess ni kitu gani, nini shida, nk.

Ingawa pia unaweza kueleza na usipate suluhu, labda pia unaogopa kuanika vingi kwa sababu pia si vyema kuwa wazi sana.

Pole.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Upo sahihi kabisa, ila kuna vina viwili vitatu nimeokota, navifanyia kazi.
 
Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.

Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
Pole sana.
 
pole sana dada..... ila jaribu kupunguza kuamini watu....na usipende kuwa na marafiki wapya

ni bora uwe na marafiki wawili mnaojuana toka zaman hata kama wapo mbali

kuliko kuwa na marafiki nane uliojuana nao jana na ukawaweka karibu

kuna misemo mitatu huwa naitumia kama nguzo zangu

1- trust no one suspect everyone

2-No new friends

3-not everyone at your work place loves you.. do your work..get paid..go home
 
Cc Smart911
photo(12).jpeg
 
Back
Top Bottom