Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Nasikia zimechukuliwa kwa mkopoKorosho nimeuza ila sijalipwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia zimechukuliwa kwa mkopoKorosho nimeuza ila sijalipwa.
Okay ila unaweza kukiamisha kwa pc then uka upload hapaKipo kwenye simu
Kwa nyongeza tu. Kumbuka hapa unaishi Afrika - Tanzania. Si kila msemo unaotumika USA unaweza kufit kwa setting yetu.kama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
Jipe nafasi ya kumwamini mtu yeyote as long as moyo wako unajisikia kumwamini.Nimekutana na mambo mengi sana
Nimejifunza kutokumpa mtu nafasi ya kumwamini
Ahsante, ila kwa nini tumekuwa na roho mbaya nyeusi? shida ni nini? jamani, hapa siandiki sana ila wewe wajua kaka.kama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
Okay ila unaweza kukiamisha kwa pc then uka upload hapa
Asante ila wapoVery few of you mmebaki hapa duniani.
Umefikia that point??Katika hayo unayopitia ulishawahi kuwaza au kutamani ulale usiamke tena, ulale usingizi wa milele? au ushawahi jifungia ndani siku nzima unalia?
Very very very few. Yaani wanatafutwa kwa torch.Asante ila wapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Very very very few. Yaani wanatafutwa kwa torch.
Mimi saiv sitaki shida na binadamu ni mara mia umnyime mtu pesa, ili kuokoa mahusiano mazuri yalikuwepo, unampa mtu fedha kwa makubaliano, muda umefika wa kulipana utazisoma namba zote, na uadui unajengwa.Kweli mkuu, pesa ni shetani aliyetengenezwa na mwanadamu.
Pesa ndo chanzo cha maovu hapa duniani ikifuatia mapenzi.
Bora turudi kwenye barter trade.
huko Nlipotoka, nashukuru je wanaokuibia, wanaokutapeli, kudhulumu je?Mimi saiv sitaki shida na binadamu ni mara mia umnyime mtu pesa, ili kuokoa mahusiano mazuri yalikuwepo, unampa mtu fedha kwa makubaliano, muda umefika wa kulipana utazisoma namba zote, na uadui unajengwa.
Toa ela unayoona hata akishindwa kurudisha isikuumize, mambo ya kuamini watu ni upuuzi kwa miaka hii ya kila mtu anavutia upande wake.
Nasema hivi sitoi pesa kwa mtu bila kuweka mazingira magumu.
Wengi wanashindwa kutambua kuwa ukimfanya mwenzio afurahi bhac nawe utafurahi kwa furaha timilifu na ya kudumu,. Na ukimfanya mwenzio akasirike au akose ili wewe ufurahi bhac utafurahi kwa muda mfupi sana.Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.
Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
TUNGO tataaaa, "unayapitia ??"...mambo mazuri//mabaya//maisha magumuu//Kula bataa Batanii/ mafanikiooo//majangaaa.....
kila mmoja kwa namna yakeee..MEZEA Kimya kimyaaaaaa
Ndiyo AbaMukulu nipo hatua hiyo, inauma zaidi pale mtu wako wa karibu anakupa kisogoUmefikia that point??
Mkuu ebu nipe nondo na mimi niongeze vitu kichwani aiseeKuna kitabu nasomakinaitwa uncommon woman
Kimenifundisha kitu kikubwa juu ya maisha
Furaha inarejea kwa kasi
Don't let anyone tell you what to do when to do etc
Halafu punguza trust kwa watu
Njia rahisi ni kuamini wewe ndio wewe, utasimama kama wewe.kwa hiyo unashauri nijiue mkuu? embu saidia njia rahisi sana, maana tupo wawili hapa.
Hivi ni mimi nayepitia haya au kuna wenzangu?
Umeandika vizuri sana, nimekuelewa pia ila nashindwa jinsi ya kuanza nashindwa.Njia rahisi ni kuamini wewe ndio wewe, utasimama kama wewe.
Furaha yako ni wewe.
Usitegee kushikwa mkono na mtu.
Si kwamba hakuna watu wema wa kufariji ila kuna kanuni moja inasema "Hakuna rafiki wala adui wa kudumu" nyingine inasema "character changes"
Hold it, jipe moyo