Hello

Hello

kama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
Kwa nyongeza tu. Kumbuka hapa unaishi Afrika - Tanzania. Si kila msemo unaotumika USA unaweza kufit kwa setting yetu.
 
Nimekutana na mambo mengi sana

Nimejifunza kutokumpa mtu nafasi ya kumwamini
Jipe nafasi ya kumwamini mtu yeyote as long as moyo wako unajisikia kumwamini.

Kuna kipindi kitakuja then utajutia kwa nini hukumwamini mtu fulani.
 
kama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
Ahsante, ila kwa nini tumekuwa na roho mbaya nyeusi? shida ni nini? jamani, hapa siandiki sana ila wewe wajua kaka.
 
Katika hayo unayopitia ulishawahi kuwaza au kutamani ulale usiamke tena, ulale usingizi wa milele? au ushawahi jifungia ndani siku nzima unalia?
Umefikia that point??
 
TUNGO tataaaa, "unayapitia ??"...mambo mazuri//mabaya//maisha magumuu//Kula bataa Batanii/ mafanikiooo//majangaaa.....

kila mmoja kwa namna yakeee..MEZEA Kimya kimyaaaaaa
 
Kweli mkuu, pesa ni shetani aliyetengenezwa na mwanadamu.

Pesa ndo chanzo cha maovu hapa duniani ikifuatia mapenzi.

Bora turudi kwenye barter trade.
Mimi saiv sitaki shida na binadamu ni mara mia umnyime mtu pesa, ili kuokoa mahusiano mazuri yalikuwepo, unampa mtu fedha kwa makubaliano, muda umefika wa kulipana utazisoma namba zote, na uadui unajengwa.
Toa ela unayoona hata akishindwa kurudisha isikuumize, mambo ya kuamini watu ni upuuzi kwa miaka hii ya kila mtu anavutia upande wake.

Nasema hivi sitoi pesa kwa mtu bila kuweka mazingira magumu.
 
Pole amu, kitu kimoja tu unanikera, huamin kama peke yako unaweza nakati najua unaweza ila hutak kuamua, hembu kaa, weka nia, omba haraf fanya(usijaribu).
Huo moyo wako nao kwako umekua kikwazo, kwa wengne imekua fursa,
cha msingi kua makini utunze moyo wako, Mungu wako anauhitaji na walio wema pia wapo na wanauhitaji,

This only happens when you needs to offer and satisfie the world and world needs to accumulate and dominate,

Crazy world
Crazy folks.
 
Mimi saiv sitaki shida na binadamu ni mara mia umnyime mtu pesa, ili kuokoa mahusiano mazuri yalikuwepo, unampa mtu fedha kwa makubaliano, muda umefika wa kulipana utazisoma namba zote, na uadui unajengwa.
Toa ela unayoona hata akishindwa kurudisha isikuumize, mambo ya kuamini watu ni upuuzi kwa miaka hii ya kila mtu anavutia upande wake.

Nasema hivi sitoi pesa kwa mtu bila kuweka mazingira magumu.
huko Nlipotoka, nashukuru je wanaokuibia, wanaokutapeli, kudhulumu je?
 
Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.

Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
Wengi wanashindwa kutambua kuwa ukimfanya mwenzio afurahi bhac nawe utafurahi kwa furaha timilifu na ya kudumu,. Na ukimfanya mwenzio akasirike au akose ili wewe ufurahi bhac utafurahi kwa muda mfupi sana.
 
Kuna kitabu nasomakinaitwa uncommon woman

Kimenifundisha kitu kikubwa juu ya maisha

Furaha inarejea kwa kasi

Don't let anyone tell you what to do when to do etc

Halafu punguza trust kwa watu
Mkuu ebu nipe nondo na mimi niongeze vitu kichwani aisee
 
kwa hiyo unashauri nijiue mkuu? embu saidia njia rahisi sana, maana tupo wawili hapa.
Njia rahisi ni kuamini wewe ndio wewe, utasimama kama wewe.
Furaha yako ni wewe.
Usitegee kushikwa mkono na mtu.
Si kwamba hakuna watu wema wa kufariji ila kuna kanuni moja inasema "Hakuna rafiki wala adui wa kudumu" nyingine inasema "character changes"

Hold it, jipe moyo
 
  • Thanks
Reactions: amu

Umeandika vizuri sana, nimekuelewa pia ila nashindwa jinsi ya kuanza nashindwa.
 
Back
Top Bottom