Hello

Hello

Tumekuwa watu wa ajabu ajabu sana, utapeli, kudhurumiana, kutojaliana, kufurahia mwenzako kuwa na matatizo shida, wizi yaani mambo ya ajabu.

Mtu unayesoma huyu ni wangu nifunguke kwake tutashare mawili matatu , unaishia kupata disappointments tu.
Vumilia mama haya yapo kila upande, juzijuzi mie wameniliza japo pesa kidogo ila iliniuma.
 
Kweli mkuu, pesa ni shetani aliyetengenezwa na mwanadamu.

Pesa ndo chanzo cha maovu hapa duniani ikifuatia mapenzi.

Bora turudi kwenye barter trade.
Maandiko yanasema tusamehe saba mara sabini.
 
Mbona naishi
I trust nobody

Hata mume wangu simwamini.

Kuna mambo yakinikuta huwa naandika mahali, kisha na choma karatasi inakuwa imepita.
Ahsante mama natamani kuwa kama wewe shida nina moyo wa upendo mno, ninajali sana ila ndo hivo mambo yanakuwa ovyo kwangu.

Natamani niwe na moyo kama huo, may be ndani ya hii post nitajifunza.
 
Ahsante mama natamani kuwa kama wewe shida nina moyo wa upendo mno, ninajali sana ila ndo hivo mambo yanakuwa ovyo kwangu.

Natamani niwe na moyo kama huo, may be ndani ya hii post nitajifunza.
Huo moyo wako wa upendo usiuache rafiki wengine bado tunauhitaji sana
 
Back
Top Bottom