Hello

Hello

Nimekutana na mambo mengi sana

Nimejifunza kutokumpa mtu nafasi ya kumwamini
Utaishije bila kuwa na mtu wa kumuamini
Matatizo yapo na yataendelea kuwepo tusiipe nafasi dhambi moja kuzuia baraka nyingine amini usiamini watu wema na waaminifu wapo na bado wanapatikana katika sayari hii tuishiyo bila kujali wana uchache wa kiasi gani
 
Ukifatilia matatizo yote chanzo ni pesa.
 
Mbona naishi
I trust nobody

Hata mume wangu simwamini.

Kuna mambo yakinikuta huwa naandika mahali, kisha na choma karatasi inakuwa imepita.
 
wewe uliwaza tu, wengine walijaribu hata kujiua kabisa...

Kujifungia siku nzima unalia, wapi waliolia wiki nzima,.
Dunia hii kuna watu wanapitia magumu...

Btw, inaonekana ni serious issue mpaka ukaona MMU hapatoshi mpaka kuweka uzi HHM.... Pole
kwa hiyo unashauri nijiue mkuu? embu saidia njia rahisi sana, maana tupo wawili hapa.
 
Ukifatilia matatizo yote chanzo ni pesa.
Kweli mkuu, pesa ni shetani aliyetengenezwa na mwanadamu.

Pesa ndo chanzo cha maovu hapa duniani ikifuatia mapenzi.

Bora turudi kwenye barter trade.
 
Mbona naishi
I trust nobody

Hata mume wangu simwamini.

Kuna mambo yakinikuta huwa naandika mahali, kisha na choma karatasi inakuwa imepita.
Natoa nafasi za upendeleo, kwa mtu mwenye dukuduku lolote linalomsumbua awe anakuja pm kufunguka ajisikie huru kabisa.
 
Back
Top Bottom