Hello

Hello

Mimi nakutia nuksi??

Nisamehe mkuu unaweza kuniignore usipate hiyo nuksi.
Jamani umenishutua kinoma kwa comment yako....

Nimemaanisha huyo mtu sio wewe amekutia nuksi...

Samahani dada kwa kukufahamisha vibaya!
 
Rafiki mimi navuta nyota, rudisha urafiki wetu tupendane na kuaminiana tena.

kama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
 
Back
Top Bottom