AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Japo kuna watu wetu wa karibu lakini sio vizuri sana kuweka utegemezi wa kihisia kwa watu wengine.Wewe unaona hapa naongelea bata?
Ndiyo AbaMukulu nipo hatua hiyo, inauma zaidi pale mtu wako wa karibu anakupa kisogo
Ukishaweka utegemezi wa kihisia jua watakuumiza.
Lakini kama hautoweka utegemezi basi wakifanya kitu tofauti unaweza move on kwa wepesi