Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Ndo nakwambia hapa ni survive for fittest..sasa wewe shupaza hilo komwe sasa hivi utaanguka kwa mbata toka kwa mzimu lilo!
Weee komaa nae ila mi ni humu humu jukwaani mpaka aelewe an sina haraka sana...
Japo unaniona mpole ila kwenye haya mambo nakuaga mkali ka mbwa mwitu