Hello!

Hello!

Mbilimbi

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Habari zenu wana jamii!mm ni mgeni jamani,naomba kujua taratibu za hapa,mana nimesikia mengi!
 
wewe ni mmbea umeyasikia mengi wapi na nani aliyekuambia???
aliyekwambia mwambie amalizie sisi tuko bize ebo!
 
Habari zenu wana jamii!mm ni mgeni jamani,naomba kujua taratibu za hapa,mana nimesikia mengi!

hahahah, Mbilimbi sikuiti bali ndivyo uliyo, umchachu usiyeogopa jua, unahila kama kama Mbilimbi yenyewe kumtia mtu uchachu pasi kumshibisha. umeyaskia mengi yapi na kwa nani? huko ulikoskia rudi wakumalizie kukwambia. hahahahah!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana jamii!mm ni mgeni jamani,naomba kujua taratibu za hapa,mana nimesikia mengi!
Na bado utasikia na kuona mengi.Kuna watu humu ndani akili zao zina akili, wengine akili zao zina tabia ya kusahau, wengine wana akili nyingi ila matumizi yake ni machache,wengine........wengine.......hoja zijadiliwazo zitakuduwaza......utakuwa na kichwa kikubwa (uelewa wa mambo mengi),.....hutakuwa "bhored" JF ni chuo kikuu cha watu wa kada zote.....chunga tu kinywa chako kwani unawezapigwa ban ya milele.....Omba ushauri mara nyingi kwa akina.....akina nanihii, wako wengi sana siwezi wataja wote ila utakutana nao humu.....Karibu sana Mbilimbi.

tulizana we mbilimbi utaviona tu, me mwenyewe ndo nasoma mchezo hapa nimefika juzi tu. kama umekuja na mbilimbi bac humu hata pilipili zipo utapewa usijali.
 
Je naweza kukuuliza wewe SNAIL swali la kizushi?
 
Na bado utasikia na kuona mengi.Kuna watu humu ndani akili zao zina akili, wengine akili zao zina tabia ya kusahau, wengine wana akili nyingi ila matumizi yake ni machache,wengine........wengine.......hoja zijadiliwazo zitakuduwaza......utakuwa na kichwa kikubwa (uelewa wa mambo mengi),.....hutakuwa "bhored" JF ni chuo kikuu cha watu wa kada zote.....chunga tu kinywa chako kwani unawezapigwa ban ya milele.....Omba ushauri mara nyingi kwa akina.....akina nanihii, wako wengi sana siwezi wataja wote ila utakutana nao humu.....Karibu sana Mbilimbi.

Mbona wamtisha mgeni?
 
Back
Top Bottom