Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jamii!mm ni mgeni jamani,naomba kujua taratibu za hapa,mana nimesikia mengi!
Na bado utasikia na kuona mengi.Kuna watu humu ndani akili zao zina akili, wengine akili zao zina tabia ya kusahau, wengine wana akili nyingi ila matumizi yake ni machache,wengine........wengine.......hoja zijadiliwazo zitakuduwaza......utakuwa na kichwa kikubwa (uelewa wa mambo mengi),.....hutakuwa "bhored" JF ni chuo kikuu cha watu wa kada zote.....chunga tu kinywa chako kwani unawezapigwa ban ya milele.....Omba ushauri mara nyingi kwa akina.....akina nanihii, wako wengi sana siwezi wataja wote ila utakutana nao humu.....Karibu sana Mbilimbi.Habari zenu wana jamii!mm ni mgeni jamani,naomba kujua taratibu za hapa,mana nimesikia mengi!
tulizana we mbilimbi utaviona tu, me mwenyewe ndo nasoma mchezo hapa nimefika juzi tu. kama umekuja na mbilimbi bac humu hata pilipili zipo utapewa usijali.
Mbona wamtisha mgeni?Na bado utasikia na kuona mengi.Kuna watu humu ndani akili zao zina akili, wengine akili zao zina tabia ya kusahau, wengine wana akili nyingi ila matumizi yake ni machache,wengine........wengine.......hoja zijadiliwazo zitakuduwaza......utakuwa na kichwa kikubwa (uelewa wa mambo mengi),.....hutakuwa "bhored" JF ni chuo kikuu cha watu wa kada zote.....chunga tu kinywa chako kwani unawezapigwa ban ya milele.....Omba ushauri mara nyingi kwa akina.....akina nanihii, wako wengi sana siwezi wataja wote ila utakutana nao humu.....Karibu sana Mbilimbi.
mkuu sijamtisha ila nampa ukweli halisiMbona wamtisha mgeni?
Je naweza kukuuliza wewe SNAIL swali la kizushi?