Karibu Irene,Naitwa Irene kutoka Dar Tanzania.
Nilifika kijijini siku mbili tatu zilizopita nikawa nashindwa kuona mahala pa kupost thread sasa nimepapata nakupeni hi wote!
Naamini mmenikaribisha hapa kijijini kwenu ijapo niliingia bila hodi ndo nikagonga hodi baada ya kufika ndani.
Cheers!
Naitwa Irene kutoka Dar Tanzania.
Nilifika kijijini siku mbili tatu zilizopita nikawa nashindwa kuona mahala pa kupost thread sasa nimepapata nakupeni hi wote!
Naamini mmenikaribisha hapa kijijini kwenu ijapo niliingia bila hodi ndo nikagonga hodi baada ya kufika ndani.
Cheers!
Irene karibu sana,mi nitakuwa mwenyeji wako.
Taratibu bosi. Angalia wa kwanza kumpa ushirikiano humu ndani ni nani.
macho yako.... sijui nitaota usiku??Karibu Irene,
Umeweza vipi kuanzisha topic (thread)?
Safi, itapendeza ukawaelekeza wengine wasiojua namna ya kufanya hivyo.
Karibu kijijini
sure umepataKaribu Irene wangu. Karibu sana. Hapo jinsia wala hatuna haja ya kukuuliza. Lazima utakuwa she.
mi ni wa kike si unajua tena siku ya kwanza unakuwa huwezi kukumbuka kutaja kila elezo.Sijui ndugu kama ulikumbuka kutuambia jinsia yako...vinginevyo tafadhali tuambie!
Unakaribishwa sana, jiskie nyumbani, na wala usiwe na jazba!
Sasa imekuwaje umegundua sauti yangu nyoror wakati kujui ni jinsia gani...!!!Karibu dada/kaka mambo unaonekana una sauti nyororo. Anyway karibu changia na jadiri kla la heri.
hahahaaaa....Taratibu bosi. Angalia wa kwanza kumpa ushirikiano humu ndani ni nani.