helloo...

helloo...

Irene V

Member
Joined
Oct 16, 2009
Posts
42
Reaction score
0
Naitwa Irene kutoka Dar Tanzania.

Nilifika kijijini siku mbili tatu zilizopita nikawa nashindwa kuona mahala pa kupost thread sasa nimepapata nakupeni hi wote!

Naamini mmenikaribisha hapa kijijini kwenu ijapo niliingia bila hodi ndo nikagonga hodi baada ya kufika ndani.

Cheers!
 
Karibu Irene,

Umeweza vipi kuanzisha topic (thread)?

Safi, itapendeza ukawaelekeza wengine wasiojua namna ya kufanya hivyo.

Karibu kijijini
 
Karibu Irene wangu. Karibu sana. Hapo jinsia wala hatuna haja ya kukuuliza. Lazima utakuwa she.
 
Naitwa Irene kutoka Dar Tanzania.

Nilifika kijijini siku mbili tatu zilizopita nikawa nashindwa kuona mahala pa kupost thread sasa nimepapata nakupeni hi wote!

Naamini mmenikaribisha hapa kijijini kwenu ijapo niliingia bila hodi ndo nikagonga hodi baada ya kufika ndani.

Cheers!

Sijui ndugu kama ulikumbuka kutuambia jinsia yako...vinginevyo tafadhali tuambie!
Unakaribishwa sana, jiskie nyumbani, na wala usiwe na jazba!
 
Karibu dada/kaka mambo unaonekana una sauti nyororo. Anyway karibu changia na jadiri kla la heri.
 
Irene karibu sana,mi nitakuwa mwenyeji wako.
 
Karibu Irene,

Umeweza vipi kuanzisha topic (thread)?

Safi, itapendeza ukawaelekeza wengine wasiojua namna ya kufanya hivyo.

Karibu kijijini
macho yako.... sijui nitaota usiku??
Hee.. sipaoni tena. ngoja nianze kupekuwa tena nikishapata nitarudi kuwaambia.

Asante mno rafiki
 
Sijui ndugu kama ulikumbuka kutuambia jinsia yako...vinginevyo tafadhali tuambie!
Unakaribishwa sana, jiskie nyumbani, na wala usiwe na jazba!
mi ni wa kike si unajua tena siku ya kwanza unakuwa huwezi kukumbuka kutaja kila elezo.
Nimefurahi ukaribisho wenu wanakijiji , jazba ondoa shaka ukiwa ktk jamii na jazba ni noma
 
Taratibu bosi. Angalia wa kwanza kumpa ushirikiano humu ndani ni nani.
hahahaaaa....
vile nafurahi kujua wenyeji wangu wapo wengi na kila mmoja anataka kuwa mwenyeji wangu pekee...
Cheers!
 
Back
Top Bottom