Vp hujamuona?
Irene ulisoma wapi?Ahah...Umenikumbusha Siku yangu ya kwanza kama Form One Student...
😁😁😁🏃🏃male na Rene? Aisee besiti wishezi😀😀😀😀 I am a male!
Daah sawa mkuu, nina shemeji yangu anaitwa Irene,hupenda kujiita Renee.....Samahani lakini mkuuSidhani Kama kuna ubaya hapo...more like RenE(Jina langu la kwanza Ren... then E....) hivyo ndivyo nilivyofikiria ID
Ukianza Kuinteract sana na kila anaetoa offer humu basi lazima utauona, binafsi nimeliwa mara mbili
Mkuu hayo matango pori bora umeyaona.usiyaleWewe ni New Member, ulikuwa unatumia JF kama Guest, una interract na watoa offer JF na umeshaliwa mara mbili.
WONDERS SHALL NEVER CEASE
What...Wewe ni New Member, ulikuwa unatumia JF kama Guest, una interract na watoa offer JF na umeshaliwa mara mbili.
WONDERS SHALL NEVER CEASE
Sawa chief, welcome aboard.What...
Si interact nao kutumia JF mkuu, ukifuatilia thread kiundani kuna contact info zinatolewa na naenda na hizo..iadhani kama nilipaswa kuelezea.
Usiniombe samahani chief maana hujanikosea hata kidogo, furahia maisha ya JF kuwa na amani mkuu.
Wapi hiyo?Habari wanaJF! ni TeamRene nakamakichwa kinavyosema naomba ukaribisho wenu. Nimekuwa mtumiaji wa JamiiForums kama Guest(Mgeni) na hii ni kwa kuwa nimekuwa nikitumia JamiiForums kujifunza mambo kadhaa.
Nimechukua hatua hii ambayo ni ya kawaida ili kwa namna moja au nyingine niweze kuchangia kile ninachokijua kwenye mada husika. Pia kama web designer nadhani JF ni sehemu nzuri ya kukutana na potential customers.
Ninaomba kukaribishwa na ushirikiano wenu.
TeamRene