Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

TeamRene

Member
Joined
Jan 13, 2019
Posts
7
Reaction score
3
Habari wanaJF! ni TeamRene nakamakichwa kinavyosema naomba ukaribisho wenu. Nimekuwa mtumiaji wa JamiiForums kama Guest(Mgeni) na hii ni kwa kuwa nimekuwa nikitumia JamiiForums kujifunza mambo kadhaa.

Nimechukua hatua hii ambayo ni ya kawaida ili kwa namna moja au nyingine niweze kuchangia kile ninachokijua kwenye mada husika. Pia kama web designer nadhani JF ni sehemu nzuri ya kukutana na potential customers.

Ninaomba kukaribishwa na ushirikiano wenu.

TeamRene
 
Sidhani Kama kuna ubaya hapo...more like RenE(Jina langu la kwanza Ren... then E....) hivyo ndivyo nilivyofikiria ID
Daah sawa mkuu, nina shemeji yangu anaitwa Irene,hupenda kujiita Renee.....Samahani lakini mkuu
 
Hebu fafanua kuhusu huo utapeli unaoendelea humu mkuu maana wengine tupo nyuma kidogo hatujui kinachoendelea.
 
Ukianza Kuinteract sana na kila anaetoa offer humu basi lazima utauona, binafsi nimeliwa mara mbili
 
Wewe ni New Member, ulikuwa unatumia JF kama Guest, una interract na watoa offer JF na umeshaliwa mara mbili.

WONDERS SHALL NEVER CEASE
 
What...
Si interact nao kutumia JF mkuu, ukifuatilia thread kiundani kuna contact info zinatolewa na naenda na hizo..iadhani kama nilipaswa kuelezea.
 
Habari wanaJF! ni TeamRene nakamakichwa kinavyosema naomba ukaribisho wenu. Nimekuwa mtumiaji wa JamiiForums kama Guest(Mgeni) na hii ni kwa kuwa nimekuwa nikitumia JamiiForums kujifunza mambo kadhaa.

Nimechukua hatua hii ambayo ni ya kawaida ili kwa namna moja au nyingine niweze kuchangia kile ninachokijua kwenye mada husika. Pia kama web designer nadhani JF ni sehemu nzuri ya kukutana na potential customers.

Ninaomba kukaribishwa na ushirikiano wenu.

TeamRene
Wapi hiyo?
 
Back
Top Bottom