TeamRene
Member
- Jan 13, 2019
- 7
- 3
Habari wanaJF! ni TeamRene nakamakichwa kinavyosema naomba ukaribisho wenu. Nimekuwa mtumiaji wa JamiiForums kama Guest(Mgeni) na hii ni kwa kuwa nimekuwa nikitumia JamiiForums kujifunza mambo kadhaa.
Nimechukua hatua hii ambayo ni ya kawaida ili kwa namna moja au nyingine niweze kuchangia kile ninachokijua kwenye mada husika. Pia kama web designer nadhani JF ni sehemu nzuri ya kukutana na potential customers.
Ninaomba kukaribishwa na ushirikiano wenu.