Hellow

Hellow

[emoji16][emoji16] yaani wewe kila siku na vikwazo vipya hakuna siku hili penzi umeliacha likapumzika yani unaliyumbusha yumbisha tuuuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetaka mwenyewe ukivyoweka picha yako
 
Eenh hongera sana nitakuja kukutembelea nikajua locations labda ya hotel flani hiviii kiben10 wewe upo juu
[emoji23][emoji23] eti unaniita kiben10 jmn... aya uwahi kuja sasa kodi inaisha mwezi ujao alafu sina mpango wa kuongeza mkataba
 
Back
Top Bottom