Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh nimependa vile unavyoonyesha umebarikiwa confidence..Usiogope Miss, nakukaribisha sana PM yangu iko open[emoji12]
Japo kwa kiasi kidogo Mr.Karibu mgeni mwenyeji
Japo kwa kiasi kidogo Mr.Karibu mgeni mwenyeji
I just love singing and dancing...
Japo kwa kiasi kidogo Mr.Karibu mgeni mwenyeji
I just love singing and dancing...
Japo kwa kiasi kidogo Mr.Karibu mgeni mwenyeji
Maybe nifuate hatua zake, lakini mimi sie huyo wewe wasema.Wewe utakuwa Demiss, umerudi rasmi kwa New ID
Binamu !!!Nilishangaa mgeni kafika halafu Mkuu wa kitengo cha kukaribisha hujatia neno Shem.
Ahsante mpendwa DepalKaribu Miss weapon
Mgeni umefunga hadi PM 😅Ahsante mpendwa Depal
Najihami na hao 7800, maana naona wanaojiita wala vitumbua wameanza uchokonozi wao.Mgeni umefunga hadi PM 😅
Hili jibu ni common kwa wageni wenyejiKa
Kabla ya kuwa member nimepata kupitia hatua ya ugeni,( guest) hapo nimepata kuwafahamu kidogo mods n.k
😂😂😂😂😂 alooooNajihami na hao 7800, maana naona wanaojiita wala vitumbua wameanza uchokonozi wao.
Wa 7800Mkuu Umekuja Kubadirisha Mchezo Gani?
KaribuNatumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Kweli Mr, ila kuwa shuhuda kila siku inachosha acha tujichanganye wote humu.Hili jibu ni common kwa wageni wenyeji
Kweli Mr, ila kuwa shuhuda kila siku inachosha acha tujichanganye wote humu.Hili jibu ni common kwa wageni wenyeji
Mpenzi kujihami muhimu et!!😂😂😂😂😂😂😂 aloooo
Ahsante sana MrKaribu