KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Tufanye mambo kutokuwa makubwa sweetie umenihanda bi mama nipe moyo wako nikupumzishe hisia zako mpenzi nikuangazie mwanga wa kile ulichokosa kwa manyang'auKazi kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanye mambo kutokuwa makubwa sweetie umenihanda bi mama nipe moyo wako nikupumzishe hisia zako mpenzi nikuangazie mwanga wa kile ulichokosa kwa manyang'auKazi kwako
Mhh hata huna haya... Yaani unanitongoza wazi wazi, utaambulia hewa 7800 wewe!!Tufanye mambo kutokuwa makubwa sweetie umenihanda bi mama nipe moyo wako nikupumzishe hisia zako mpenzi nikuangazie mwanga wa kile ulichokosa kwa manyang'au
Kificho Cha Nini wkt uwepo wako uwepo wangu bi mama.. mi sio hao vijana wa sasa wa 7800!Mhh hata huna haya... Yaani unanitongoza wazi wazi, utaambulia hewa 7800 wewe!!
Utamaliza maneno yote, Waite na hao wasaidizi wako hao wa matunguli wakusaidieKificho Cha Nini wkt uwepo wako uwepo wangu bi mama.. mi sio hao vijana wa sasa wa 7800!
Nimeandika wapi wa matunguli..?Utamaliza maneno yote, Waite na hao wasaidizi wako hao wa matunguli wakusaidie
Utunguli wake mi siufahamuUnafikiri sikuiona hii?
Bora uniepushe nae kabisa maana.....Utunguli wake mi siufahamu
Nikubali nikuepusheBora uniepushe nae kabisa maana.....
Natumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Washitue watibuaje wenzako,, sisi tunazibua tuKazi ndo kwanza imeanza, ndugu WATIBUAJI tujiandae na kikao cha dharura.
Dhana ya mifumo dume iliyo jijengea mizizi humu JF, Ukuu, uonevu na haki sawa dhidi ya uonevu wa kijinsia.
wewe sio mgeniNatumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
UshindweeeNikubali nikuepushe
Ulitaka hadi uone kamba mguuni?Wewe sio mgeni. Wewe ni mwenyeji 2.0
Karibu ufanye mapinduzi
Et ehh, Kipepe utapepewa mwaka huu!!wewe sio mgeni
Naona konyagi zimeshachukua nafasi yake Mr Mlevi.Unalo sweta la Tanzania?