Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Habari Great thinkers,
Nimewamisimooo..
Ni muda sijaingia hapa natumaini mko poa. Asante kwa mliokuwa mnanimisi, asante kwa mliokuwa mnaniuliza na wengine mlikuja PM. Ninyi niliokuta meseji zenu najua ninyi tu ndio mnanipenda kwa dhati teh teh..(jokes).
Ila mwenzenu nimekuwa mshamba kwenye hii Jf mpya naomba mnipe muongozo. Ukitaka kumentio jina la mtu unafanyaje? Maana zamani ukitaka kufanya hivyo unaweka @ then jina ila sasa hivi naona kama sio...then emoj mbona hamna? Maana mwanzo nilikuwa napata na nilikuwa natumia simu hi hii.
Naomba mnipe na mabadiliko mengine maana mmmh...
Nawapendaga sana wanachitchat