ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Habari jamani?
Mi ni kijana single, nafanya kazi sasa nimejikusanyia vimshahara vyangu sasa nina Milioni thelathini i.e 30mil katika account yangu ya benk.
Nataka kuwekeza hvo vijicent , sasa sijajua kati ya uwekezaji wa fixed deposit na wa ununuaji wa hisa ni upi utakuwa mzuri na wenye faida kwangu kwa kiwango nilichonacho.
Naombeni maoni yenu, mana hzi hela naweza nikaanza kuzinywea bia.

Fungua account pale AMANA BANK(ISLAMIC BANK) Kisha isuse humo wallah hutojutia.
mkuu ebu fafanua kidogo hapo ili twende sawa,japo mimi siye niyeomba ushauri ila nahisi kweny haya maelezo yako machache kuna point muhimu ambayo inahitaji maelezo ya kina kidoogo!so Iam just curious.
Mkuu talentboy AMANA bank ni bank ya kiislam na ina share ATM (UMOJA)
Bank hii ukiweka akiba yako inayozidi tshs 100,000 kwa muda usiyozidi miezi 2 basi watakuwekea na faida. Means wataizungushia pesa yako pasipo kuomba ridhaa yako na watakuwekea faida.
Kwa mfano huyo mwanzisha post asije shangaa kwa hiyo 30m yake akajikuta ana si chini ya 4m faida kwa mwaka.
Hiyo I'd yako hiyo loh.Ngoja nikupe hizi theory mbili then utajaji mweneywe.
A good investment is the one where you dont get less than what you invested (the risk is zero). i.e fixed deposit is one of those.
Where there is no risky, there is no return. Or the higher the risky, the higher the return. i.e stocks have a risk of losing value or return of gaining market value or dividends.
Ngoja nikupe hizi theory mbili then utajaji mweneywe.
A good investment is the one where you dont get less than what you invested (the risk is zero). i.e fixed deposit is one of those.
Where there is no risky, there is no return. Or the higher the risky, the higher the return. i.e stocks have a risk of losing value or return of gaining market value or dividends.
Kama unaweza kufungua biashara, huo ni mtaji tosha.
Unaweza kununua hisa ila tafuta broker mzuri atakaekushauri vizuri uweze kuwekeza pesa zako kwenye makampuni ambayo ni top performers. Na uzuri unaweza kutumia hizo hisa zako kama dhamana ya kuombea mkopo benki.
Huna haja ya kuweka hela benki ikakaa tu.
Mimi nina maswali yafuatayo:
- Je ni lazima kuwatumia hawa stock brokers katika ununuaji wa hisa?
- Charge zao zina-range kiasi gani (in % etc)
- Changamoto ni zipi iwapo nataka kununua mimi mwenyewe directly bila kuwatumia ma-stock brockers?
Natanguliza shukran za dhati.
Mpenda Uzalendo.
anamaanisha ufukue chini kisha uzizike. siku unakwenda kuchukua utakuta hivyohivyo bila hata ya faida ya 0.01%mkuu ebu fafanua kidogo hapo ili twende sawa,japo mimi siye niyeomba ushauri ila nahisi kweny haya maelezo yako machache kuna point muhimu ambayo inahitaji maelezo ya kina kidoogo!so Iam just curious.
aisee bado sio pahala productive.yaaan 30 miln uvune 4m per yia??u cnt be serious.!!ni faida ndogo sna io.huwez hata nunua kiwanja na kupandisha msingi.Mkuu talentboy AMANA bank ni bank ya kiislam na ina share ATM (UMOJA)