ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Habari jamani?
Mi ni kijana single, nafanya kazi sasa nimejikusanyia vimshahara vyangu sasa nina Milioni thelathini i.e 30mil katika account yangu ya benk.
Nataka kuwekeza hvo vijicent , sasa sijajua kati ya uwekezaji wa fixed deposit na wa ununuaji wa hisa ni upi utakuwa mzuri na wenye faida kwangu kwa kiwango nilichonacho.
Naombeni maoni yenu, mana hizi hela naweza nikaanza kuzinywea bia.