Help: Fixed deposit Vs ununuaji Hisa

Help: Fixed deposit Vs ununuaji Hisa

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Habari jamani?

Mi ni kijana single, nafanya kazi sasa nimejikusanyia vimshahara vyangu sasa nina Milioni thelathini i.e 30mil katika account yangu ya benk.

Nataka kuwekeza hvo vijicent , sasa sijajua kati ya uwekezaji wa fixed deposit na wa ununuaji wa hisa ni upi utakuwa mzuri na wenye faida kwangu kwa kiwango nilichonacho.

Naombeni maoni yenu, mana hizi hela naweza nikaanza kuzinywea bia.
 
Habari jamani?
Mi ni kijana single, nafanya kazi sasa nimejikusanyia vimshahara vyangu sasa nina Milioni thelathini i.e 30mil katika account yangu ya benk.

Nataka kuwekeza hvo vijicent , sasa sijajua kati ya uwekezaji wa fixed deposit na wa ununuaji wa hisa ni upi utakuwa mzuri na wenye faida kwangu kwa kiwango nilichonacho.

Naombeni maoni yenu, mana hzi hela naweza nikaanza kuzinywea bia.

Sikushauri vyote fanya biashara tu.fixed deposit ni usanii na hisa kwa bongo bado sana.soko la hisa linachezewa sana na wajanja.
 
Habari jamani?
Mi ni kijana single, nafanya kazi sasa nimejikusanyia vimshahara vyangu sasa nina Milioni thelathini i.e 30mil katika account yangu ya benk.

Nataka kuwekeza hvo vijicent , sasa sijajua kati ya uwekezaji wa fixed deposit na wa ununuaji wa hisa ni upi utakuwa mzuri na wenye faida kwangu kwa kiwango nilichonacho.

Naombeni maoni yenu, mana hzi hela naweza nikaanza kuzinywea bia.

Nenda UTT ukanunue hisa.
 
Nunua amana za serikali....kununua hisa bongo ni sawa na kunywea pombe. Utanunua hisa kwa sh 5000 baada ya miezi miwili wanakwambia kila hisa ina thamani ya sh 2000. Soko la hisa bongo linaendeshwa kikamari kamari.

amana za serikali ndiyo mpango mzima.
 
Fungua account pale AMANA BANK(ISLAMIC BANK) Kisha isuse humo wallah hutojutia.

mkuu ebu fafanua kidogo hapo ili twende sawa,japo mimi siye niyeomba ushauri ila nahisi kweny haya maelezo yako machache kuna point muhimu ambayo inahitaji maelezo ya kina kidoogo!so Iam just curious.
 
Kama unaweza kufungua biashara, huo ni mtaji tosha.

Unaweza kununua hisa ila tafuta broker mzuri atakaekushauri vizuri uweze kuwekeza pesa zako kwenye makampuni ambayo ni top performers. Na uzuri unaweza kutumia hizo hisa zako kama dhamana ya kuombea mkopo benki.

Huna haja ya kuweka hela benki ikakaa tu.
 
Pima returns za kampuni unayotaka kuwekeza na zile interests utakazovuna. Take the highest.

Njia bora zaidi ya kusave nunu kiwanja ua viwanja kwa kuwa baadhi ya maeneo annual appreciation rate kuliko fixed interests au gawio la kampuni.

Pili kwenye ardhi una uhakikaka wa kurudisha pesa zako safely lamini sio kama shares. Kampuni ikifa uwezekano wa kupoteza milliomi 30 kama mtaji uliowekeza
 
Asanteni sana, japo i see contradicting opinion. Pia uoga unazidi, kufanya biashara tatizo nipo taiti na kazi za ofisi
 
mkuu ebu fafanua kidogo hapo ili twende sawa,japo mimi siye niyeomba ushauri ila nahisi kweny haya maelezo yako machache kuna point muhimu ambayo inahitaji maelezo ya kina kidoogo!so Iam just curious.

Mkuu talentboy AMANA bank ni bank ya kiislam na ina share ATM (UMOJA)
Bank hii ukiweka akiba yako inayozidi tshs 100,000 kwa muda usiyozidi miezi 2 basi watakuwekea na faida. Means wataizungushia pesa yako pasipo kuomba ridhaa yako na watakuwekea faida.
Kwa mfano huyo mwanzisha post asije shangaa kwa hiyo 30m yake akajikuta ana si chini ya 4m faida kwa mwaka.
 
Last edited by a moderator:

4m kwa mwaka? Yanini sasa!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama una weza pata viwanja uka nunua in future it will pay you kinyama ARDHI is something else bhana mimi nikija pata cash kama hiyo... natafuta ardhi tu sitaki porojo...ukiweza viwanja vi 3 let's say kwa 6 million nje ya mji without considering the remoteness trust me baada ya mwaka hio Ardhi sio 6 M tena ni either 15 or 20 M s.
 
Ngoja nikupe hizi theory mbili then utajaji mweneywe.
A good investment is the one where you dont get less than what you invested (the risk is zero). i.e fixed deposit is one of those.
Where there is no risky, there is no return. Or the higher the risky, the higher the return. i.e stocks have a risk of losing value or return of gaining market value or dividends.
 
Hiyo I'd yako hiyo loh.
 
You can minimize risk by chosing companies whose stocks are top performers.
 
Kama unaweza kufungua biashara, huo ni mtaji tosha.

Unaweza kununua hisa ila tafuta broker mzuri atakaekushauri vizuri uweze kuwekeza pesa zako kwenye makampuni ambayo ni top performers. Na uzuri unaweza kutumia hizo hisa zako kama dhamana ya kuombea mkopo benki.

Huna haja ya kuweka hela benki ikakaa tu.

Mimi nina maswali yafuatayo:
- Je ni lazima kuwatumia hawa stock brokers katika ununuaji wa hisa?
- Charge zao zina-range kiasi gani (in % etc)
- Changamoto ni zipi iwapo nataka kununua mimi mwenyewe directly bila kuwatumia ma-stock brockers?

Natanguliza shukran za dhati.

Mpenda Uzalendo.
 
Hisa zote za makampuni lazima ununue kupitia brokers. Huwalipi wao ila wewe unanunua hisa za kampuni husika na swala la kuwalipa halikuhusu wewe.
 
mkuu ebu fafanua kidogo hapo ili twende sawa,japo mimi siye niyeomba ushauri ila nahisi kweny haya maelezo yako machache kuna point muhimu ambayo inahitaji maelezo ya kina kidoogo!so Iam just curious.
anamaanisha ufukue chini kisha uzizike. siku unakwenda kuchukua utakuta hivyohivyo bila hata ya faida ya 0.01%
 
Mkuu talentboy AMANA bank ni bank ya kiislam na ina share ATM (UMOJA)
Bank hii ukiweka akiba yako inayozidi tshs 100,000 kwa muda usiyozidi miezi 2 basi watakuwekea na faida. Means wataizungushia pesa yako pasipo kuomba ridhaa yako na watakuwekea faida.
Kwa mfano huyo mwanzisha post asije shangaa kwa hiyo 30m yake akajikuta ana si chini ya 4m faida kwa mwaka.
aisee bado sio pahala productive.yaaan 30 miln uvune 4m per yia??u cnt be serious.!!ni faida ndogo sna io.huwez hata nunua kiwanja na kupandisha msingi.
 
Njoo uwekeze kwenye kilimo morogoro kitakulipa maradufu utapata faida kuliko hata hizo unazofikiria. Mazao yako ndani ya miezi mitatu unavuna unapata faida sio uweke benki mil 30 kwa mwaka upate mil 4 faida
 
Back
Top Bottom