umekosea. Simpendi hata kidogo. Namchukia.
basi nikwambie kitu ero, huyo mtu unampenda sana tu, ila unataka kujiforce kumchukia, sasa huyo mtu kama yupo hapa, dont loose hope, the chick is just playing staki, nataka. But she is dying being wit ya! Ero watch your tongue!
unanitisha mod. tafadhali nieleweshe naumwa mwenzio.
when i said the chick, i meant u! That ni wewe unayecheza staki, nataka, umenielewa sasa?hehehehe! Naanza kuwa na wasi wasi juu ya ushauri wako. U think ni chick?
omg. this is a lot of hard work, naona ka siwezi.
gfsonwin i feel beta kuwa ulinikumbuka. mwaaaaaah 2 u.
Sasa nikikuelewesha unaleta maneno makali. Talk to the guy and find out why you have been thinking so much about him. Once you know you will see a change in the way you feel about him: either you would want to know more or you will lose interest.
Erotica naishi kwa nguvu za Muumba.... sijapata dawa maana hata niliyoelekezwa kuifuata nimeambiwa dukani haipo kwani Kaunga kachukua yote kapeleka store kwake.. mapigo ya moyo yananienda kasi ajabu.....
you know what Erotica unajua kumtoa mtu from zero ground up exitation state. Binafsi you are ma true friend.
sasa kama unaona ni kazi kutumia dawa hiyo unataka dawa gani? unajua bana sindano ni chungu japo inatibu so kama hayo ndo matibabu do it. yaani ukitaka umflash mweke on line na wengine uone ataondoka tu .
teh teh teh. Hadi umenichekesha! Hivo mie ni stak nataka? Mie ni sitaki tu!
Basi nisaidie uongee nae wewe, nakupm jina lake. mimi sitak hata kumuona.