HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

umekosea. Simpendi hata kidogo. Namchukia.

basi nikwambie kitu ero, huyo mtu unampenda sana tu, ila unataka kujiforce kumchukia, sasa huyo mtu kama yupo hapa, dont loose hope, the chick is just playing staki, nataka. But she is dying being wit ya! Ero watch your tongue!
 
hehehehe! naanza kuwa na wasi wasi juu ya ushauri wako. u think ni chick?
 
unanitisha mod. tafadhali nieleweshe naumwa mwenzio.

Sasa nikikuelewesha unaleta maneno makali. Talk to the guy and find out why you have been thinking so much about him. Once you know you will see a change in the way you feel about him: either you would want to know more or you will lose interest.
 
Ni hali ya kawaida kwa binadamu inafika sehemu akili inatawaliwa na mtu mmoja tu....
Ajabu ni pale ambapo mie nakutwa na hali kama hiyo kwa Erotica lakini yeye anakutwa na hali kama hiyo kwa Kaunga
aisee!

Paxman na wewe unaugua ugonjwa kama wangu? sio Kaunga lakini.

yeye huwa ananifariji ktk kila hali na kunifanya nirudi hali ya kawaida. umetumia dawa gani?
 
Last edited by a moderator:
omg. this is a lot of hard work, naona ka siwezi.

gfsonwin i feel beta kuwa ulinikumbuka. mwaaaaaah 2 u.

you know what Erotica unajua kumtoa mtu from zero ground up exitation state. Binafsi you are ma true friend.

sasa kama unaona ni kazi kutumia dawa hiyo unataka dawa gani? unajua bana sindano ni chungu japo inatibu so kama hayo ndo matibabu do it. yaani ukitaka umflash mweke on line na wengine uone ataondoka tu .
 
Last edited by a moderator:
Sasa nikikuelewesha unaleta maneno makali. Talk to the guy and find out why you have been thinking so much about him. Once you know you will see a change in the way you feel about him: either you would want to know more or you will lose interest.

hakuna njia ya kutumia bila facing the guy? y do i have to face him na hali simtaki? nipe shortcut.

akiwepo siwezi kongea, kmbka anakuwa moyoni na ubongoni. sioni kama kutakuwa na la mana nitaongea.
 
when i said the chick, i meant u! That ni wewe unayecheza staki, nataka, umenielewa sasa?

teh teh teh. hadi umenichekesha! hivo mie ni stak nataka? mie ni sitaki tu!
 
Paxman na wewe unaugua ugonjwa kama wangu? sio Kaunga lakini.

yeye huwa ananifariji ktk kila hali na kunifanya nirudi hali ya kawaida. umetumia dawa gani?
Erotica naishi kwa nguvu za Muumba.... sijapata dawa maana hata niliyoelekezwa kuifuata nimeambiwa dukani haipo kwani Kaunga kachukua yote kapeleka store kwake.. mapigo ya moyo yananienda kasi ajabu.....
Natoka jasho huku....! aaah!
 
Last edited by a moderator:
Hatimae nami nimepata cha kuongea. . . . . Unapopata kiu just chukua cha kukukatia kiu utulize akili na kiu.Kujiumiza kwa nini!
 
you know what Erotica unajua kumtoa mtu from zero ground up exitation state. Binafsi you are ma true friend.

sasa kama unaona ni kazi kutumia dawa hiyo unataka dawa gani? unajua bana sindano ni chungu japo inatibu so kama hayo ndo matibabu do it. yaani ukitaka umflash mweke on line na wengine uone ataondoka tu .

Basi nisaidie uongee nae wewe, nakupm jina lake. mimi sitak hata kumuona.
 
Sasa akukome kwani alishakutongoza?

Lizzy umenisoma ukanielewa? nimesema anikome moyoni, ubongoni na kivuli,

sbb kaja na sijamkaribisha wala nini. wala simtaki aje. hivo anikome. haya basi waijua dawa?
 
Last edited by a moderator:
Mi naomba hiyo pipi kijiti kwani ndo inayokusumbua.
 
Erotica naishi kwa nguvu za Muumba.... sijapata dawa maana hata niliyoelekezwa kuifuata nimeambiwa dukani haipo kwani Kaunga kachukua yote kapeleka store kwake.. mapigo ya moyo yananienda kasi ajabu.....
Natoka jasho huku....! aaah!

swit and kyut paxie shida ya nini? kwa nini hukusema mapema?

Kaunga is so sweet hawezi kukunyima wewe dawa kama anayo store.

Kaoge urefresh huwo mwili jasho halina tija tena!
 
Hatimae nami nimepata cha kuongea. . . . . Unapopata kiu just chukua cha kukukatia kiu utulize akili na kiu.Kujiumiza kwa nini!

sijakuelewa. kipi kiu na kipi cha kukatia kiu? mie naumwa.
 
teh teh teh. Hadi umenichekesha! Hivo mie ni stak nataka? Mie ni sitaki tu!

basi kama umeamua mwambie itamsaidia. Na wewe itakupunguzia maumivu na mawazo juu, lolest, aliyesema mapenzi ni ugonjwa hakukosea, pole mwaya
 
Basi nisaidie uongee nae wewe, nakupm jina lake. mimi sitak hata kumuona.

Sawa wewe nitumie mimi nitaongea naye tu. manake kuliko akutese ilihali humtaki ni bora akajua asipote energy zake bure.
 
Back
Top Bottom