Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
- Thread starter
- #61
Wewe huna ugonjwa wowote bali wewe ni shetani tena shetani mbaya sana wa ngono. Uwe unawawaza watu 7 kwa mara moja kila mtu kivyake kama si shetani ni nini?
Audhu Billahi Minna Sheytwani Rajyim.
Ribosome unachonishangaza wewe mama ni tabia yako ya kufungua uzi wangu ili unisome
na hali katika mawazo yako sina jipya zaidi ya sex. hivi huwezi tu kupita bila kupost
wala kusoma na hali wewe bikira huwazi ngono? hebu niondokee!
Last edited by a moderator: