HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

Wewe huna ugonjwa wowote bali wewe ni shetani tena shetani mbaya sana wa ngono. Uwe unawawaza watu 7 kwa mara moja kila mtu kivyake kama si shetani ni nini?

Audhu Billahi Minna Sheytwani Rajyim.

Ribosome unachonishangaza wewe mama ni tabia yako ya kufungua uzi wangu ili unisome

na hali katika mawazo yako sina jipya zaidi ya sex. hivi huwezi tu kupita bila kupost

wala kusoma na hali wewe bikira huwazi ngono? hebu niondokee!
 
Last edited by a moderator:
I know u didnt min it darlin. bas tu naumia na huu ugonjwa. assumption yako sio ya kweli,

mie toka nimejiunga pm yangu inagoma kufanya kazi. Nimelalamikwa kwa

Invisible tatizo halitatuliwi. itabidi niwafungulie thread kwa nini mie sipati pm.

ok but kuna effort alizo fanya hadi ukamuona na kumuweka akilini kani huwez tu kufikir sura ya mtu usiyemjua na kumueka kwa kichwa. but pole sana nitakusaidia kama dada yako. Lakin hujanipa fback je ulipima kama kuna sukari?
 
Inapasa tupitiwe na tuhoma ili kutafakari upendo tulio beba... It was uninevitable condition unless this solution could pass through before...! awwww..! ma Capr... Cake long lastin' my ...Ticah!

Oh' my honey bunny, my lilacs, my soso and stranger in my dream.

tulikuwa na jibu tumelikalia tu hapa kyut paxie.

If you start to think the problem is 'out there,' stop yourself. That thought is a problem.
 
Wewe huna ugonjwa wowote bali wewe ni shetani tena shetani mbaya sana wa ngono. Uwe unawawaza watu 7 kwa mara moja kila mtu kivyake kama si shetani ni nini?

Audhu Billahi Minna Sheytwani Rajyim.

Erotica, u have an obvious secret admire; looks like Ribosome alikumiss!
 
Last edited by a moderator:
Lizzy umenisoma ukanielewa? nimesema anikome moyoni, ubongoni na kivuli,

sbb kaja na sijamkaribisha wala nini. wala simtaki aje. hivo anikome. haya basi waijua dawa?

Amua kukoma kumfikiria maana yeye hawezi kukoma (Hajachagua, wewe ndio umechagua).
 
Last edited by a moderator:
Poor Paxman, you got it all wrong. Erotica is my best galfriend as l am to her. N both of has has room for men, so aliyekuibia dawa yako ndio huyu anayezungumzwa!

You know what u should do, ni kumpush huyu anayechukua muda wa Shostito ili weye uoccupy nafasi (mradi tu usiingie kwenye room yangu) ndani ya that sweet heart-shaped heart of Erotica. LOL

my sweetest whose side ar u on?
 
ok but kuna effort alizo fanya hadi ukamuona na kumuweka akilini kani huwez tu kufikir sura ya mtu usiyemjua na kumueka kwa kichwa. but pole sana nitakusaidia kama dada yako. Lakin hujanipa fback je ulipima kama kuna sukari?

my sex life is boring at present. dull. bado sijapima. boyfie nishamchoka dizaini.
 
Kaunga my sweetest. i fil beta. wewe ndie utatowa

mwongozo wote this mind is not mine anymo'. leo tupate chai yetu ya jion,
labda na some candle lite will help au sio babe?

Sounds sweet n romantic; niPM basi huyo mtu, ili tuone jinsi ya kumfanya naye akuwaze 25/8.
 
Last edited by a moderator:
Ribosome unachonishangaza wewe mama ni tabia yako ya kufungua uzi wangu ili unisome

na hali katika mawazo yako sina jipya zaidi ya sex. hivi huwezi tu kupita bila kupost

wala kusoma na hali wewe bikira huwazi ngono? hebu niondokee!

Sex relieves tension
 
dawa yake ndogo sana, panado 2*3 kwa siku 5 anaanza yeye kukuwaza na anafunguka wazi kabisa.
 
Poor Paxman, you got it all wrong. Erotica is my best galfriend as l am to her. N both of has has room for men, so aliyekuibia dawa yako ndio huyu anayezungumzwa!

You know what u should do, ni kumpush huyu anayechukua muda wa Shostito ili weye uoccupy nafasi (mradi tu usiingie kwenye room yangu) ndani ya that sweet heart-shaped heart of Erotica. LOL

Wow! I can say this is my granted residence not only for dwelling but to die for her! Yey Kaunga I thot ur M jaman kumbe F loleset kwa kweli... I hope from now on you count on me as a real bro in sheria right? I promise your space will never be taken or crushed but rejuvinated more+

Thanks 2u ma Apple's gf!
 
Last edited by a moderator:
my sex life is boring at present. dull. bado sijapima. boyfie nishamchoka dizaini.

Duh! hilo nalo nakupa pole sana anyway tuanz kwanza na kumtupa huyu kwenye recycle bin kisha tuendelee na wengine.

but try to be you and speak to your heart what you want." Erotica you can make it" !!!!!!! .......... speak............. it loudly and listen how it rings upstairs.....
 
Last edited by a moderator:
my sweetest whose side ar u on?

Urs ofcourse; hujanitajia jina la huyo anayekutesa so l am doing a lot of guess work. Let's talk over a cup of tea this evening, au waonaje?

BTW, l know u feel a little threatened by the thought of thinkin of just one man. Lkn it can be sweet!
 
dawa yake ndogo sana, panado 2*3 kwa siku 5 anaanza yeye kukuwaza na anafunguka wazi kabisa.

Ero feels Erotic by this medicine, if it works Ero promises Kongosho an Erotic time.
 
Last edited by a moderator:
Duh! hilo nalo nakupa pole sana anyway tuanz kwanza na kumtupa huyu kwenye recycle bin kisha tuendelee na wengine.

but try to be you and speak to your heart what you want." Erotica you can make it" !!!!!!! .......... speak............. it loudly and listen how it rings upstairs.....

Umeshaona hii weekend sio yangu eeh? i bliv i can make it lemme jus kill this baseteired!
 
Back
Top Bottom