Wewe huna ugonjwa wowote bali wewe ni shetani tena shetani mbaya sana wa ngono. Uwe unawawaza watu 7 kwa mara moja kila mtu kivyake kama si shetani ni nini?
Audhu Billahi Minna Sheytwani Rajyim.
I know u didnt min it darlin. bas tu naumia na huu ugonjwa. assumption yako sio ya kweli,
mie toka nimejiunga pm yangu inagoma kufanya kazi. Nimelalamikwa kwa
Invisible tatizo halitatuliwi. itabidi niwafungulie thread kwa nini mie sipati pm.
Inapasa tupitiwe na tuhoma ili kutafakari upendo tulio beba... It was uninevitable condition unless this solution could pass through before...! awwww..! ma Capr... Cake long lastin' my ...Ticah!
Wewe huna ugonjwa wowote bali wewe ni shetani tena shetani mbaya sana wa ngono. Uwe unawawaza watu 7 kwa mara moja kila mtu kivyake kama si shetani ni nini?
Audhu Billahi Minna Sheytwani Rajyim.
Lizzy umenisoma ukanielewa? nimesema anikome moyoni, ubongoni na kivuli,
sbb kaja na sijamkaribisha wala nini. wala simtaki aje. hivo anikome. haya basi waijua dawa?
Poor Paxman, you got it all wrong. Erotica is my best galfriend as l am to her. N both of has has room for men, so aliyekuibia dawa yako ndio huyu anayezungumzwa!
You know what u should do, ni kumpush huyu anayechukua muda wa Shostito ili weye uoccupy nafasi (mradi tu usiingie kwenye room yangu) ndani ya that sweet heart-shaped heart of Erotica. LOL
ok but kuna effort alizo fanya hadi ukamuona na kumuweka akilini kani huwez tu kufikir sura ya mtu usiyemjua na kumueka kwa kichwa. but pole sana nitakusaidia kama dada yako. Lakin hujanipa fback je ulipima kama kuna sukari?
Kaunga my sweetest. i fil beta. wewe ndie utatowa
mwongozo wote this mind is not mine anymo'. leo tupate chai yetu ya jion,
labda na some candle lite will help au sio babe?
Ribosome unachonishangaza wewe mama ni tabia yako ya kufungua uzi wangu ili unisome
na hali katika mawazo yako sina jipya zaidi ya sex. hivi huwezi tu kupita bila kupost
wala kusoma na hali wewe bikira huwazi ngono? hebu niondokee!
Poor Paxman, you got it all wrong. Erotica is my best galfriend as l am to her. N both of has has room for men, so aliyekuibia dawa yako ndio huyu anayezungumzwa!
You know what u should do, ni kumpush huyu anayechukua muda wa Shostito ili weye uoccupy nafasi (mradi tu usiingie kwenye room yangu) ndani ya that sweet heart-shaped heart of Erotica. LOL
my sex life is boring at present. dull. bado sijapima. boyfie nishamchoka dizaini.
my sweetest whose side ar u on?
Duh! hilo nalo nakupa pole sana anyway tuanz kwanza na kumtupa huyu kwenye recycle bin kisha tuendelee na wengine.
but try to be you and speak to your heart what you want." Erotica you can make it" !!!!!!! .......... speak............. it loudly and listen how it rings upstairs.....
kufall ndio kufanyaje RussianRoulette? siwezi kuongea nae, kanisababishia ugonjwa nimfuate? No way!